Eti wanawake wa bongo hawajui .......

Mito, mie mnaniudhi. Mnafuata wanawake vimeo, wasio size zenu afu unarudi kulalama hapa! Akhuu! Unataka mwanamke mwenye maadili, shurti uwe na maadili kwanza ww ndo umpate!

Kweli kabisa king'asti, shida yetu wanaume ni kama alivyoeleza dada gfsonwin kwenye comments zake hapo juu
 
siwezi kusema ndio au hapana,kwa sababu yasemwayo yapo,,ila nachoweza kusema ni kwamba wapo wanawake wa aina hiyo,na pia wapo wenye hela na wanoweza kutatua matatizo yao na bado wakawa na heshima ndani ya nyumba,na anaefanya hivo ni limbukeni,,inabid ukimuoa umueleze ukweli na uwe na msimamo ili asikuyumbishe
 
Kwani ukifolenishwa una wasiwasi gani wakati wewe ndo unakuwa mwanzo wa mstari? Mtaipata mwaka huu wallah!

Hehehehe sexy thing eeh Best King'asti ! wengine wakiwa mwanzo wa mstari hawataki yeyote yule awe nyuma yao lol! Vinginevyo kutazuka varangati la kufa mtu.

Last edited by a moderator:
Ningeongea mimi,mngesema ooh nina bifu na wanawake,nitarudi!
 
hayo ni mawazo ya wanaume wasiojiamini!

Mmh BADILI TABIA hebu fafanua vizuri dada, unamaanisha kwa sababu ya kutojiamini kwao ndo maana wanawaza hivyo? au kwa sababu ya kutojiamini kwao ndo maana wanawake wanawafanyia hivyo? au unamaana nyingine kabisa!
 
just jiamini na uingie kwenye ndoa, think positovely with no assumptions! UKISEMA LIWALO NA LIWE NDIO HIVYO MWISHO WAKE UTAANZA KUONA U-DHAIFU!!!

Kweli cacico hapa tatizo ni kutoweka mambo hadharani unatakiwa mwanamke akujue kabla hata hujamwoa, kama unajifanya mtu wa kujitutumua ku-solve matatizo ambayo huyawezi unategemea nini? au unajifanya upo njema mbele ya mpenzi wako unategemea nini hapo maana mkioana muda mwingi mpo wote lazima kila kitu kitajulikana, kweli jiamini kama alivyosema cacico
 
Acha uongo wewe!!Je,law of floatation,charles law,boyles law etc...!

Law of floatation: Floating boat displaces its own weight of fluid on which it floats hapa exceptions ni kama kuna mawimbi huwezi pata exactly weight of water displaced
 
Kweli cacico hapa tatizo ni kutoweka mambo hadharani unatakiwa mwanamke akujue kabla hata hujamwoa, kama unajifanya mtu wa kujitutumua ku-solve matatizo ambayo huyawezi unategemea nini? au unajifanya upo njema mbele ya mpenzi wako unategemea nini hapo maana mkioana muda mwingi mpo wote lazima kila kitu kitajulikana, kweli jiamini kama alivyosema cacico

Kwahiyo Jodoki Kalimilo unamaanisha ni kweli tatizo lipo isipokuwa linasababishwa na wanaume wenyewe, yaani unakuta mwanaume anajifanya kuwa ana uwezo wa ku-solve matatizo ya mwenzi wake wakati kumbe uwezo huo hana isipokuwa ilikuwa njia tu ya kumpata
 
Sometime linasababishwa na wanaume kwa kushindwa kusema ukweli pale mizinga inapozidi lakini pia wakti mwingine pia kinadada kutokana na perception yao juu ya mwanaume flani kutokana na mwonekano wake na asset alizonazo unakuta mdada anaamini jamaa yupo njema kumbe mwisho wa siku anagundua hakuna kitu.
 
Nimependa mtizamo wako, kumbe ni tatizo linalosababishwa na pande zote (yaani wanaume na wanawake) hivyo uwezi kulaumu upande mmoja
 
Kwahiyo gfsonwin tunaweza kusema wanaume wenye mtizamo niliouelezea ni wale ambao hawajakutana na wanawake waliopo kwenye hilo kundi lako la red, makes sense!

Inategemea elimu, utamaduni, dini, kabila.....wapo ambao ni wake kweli ukioa ni sawa umezaa mtoto ambaye kuanzia c...pi, hadi dawa ya mswaki ni lazima umnunulie.....lakini kuna wale ambao ni mwenza kweli, si mnyonyaji au anayetafuta mahali pa kuhemea. Kwa hiyo hatuwezi kugeneralize.
 
Uko sahihi hapo kwa red Bongolander....
 
Back
Top Bottom