Eti wachaga wapokuwa pamoja katika furaha

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,314
Wanapo imba nyimbo zao na kucheza lazima washikane mikono?

Eti hii imetokana na nini?
 
Jamaa alisema hiyo ni mkakati wa kuimarisha ulinzi mifukoni, vinginevyo kilichoko mfukoni kwako umiliki wake unaweza kuhama bila wewe kujua
 
Kwa hiyo pale ni masawe leta mkono , kimey leta mkono tukiachana hapa tuachane salama?
 
"..kinaaate changurumaa...kinate hichoooo...changuruma..."
Hawaruhusu mikono kuwa free??
Ahahaha!!
 
Jamaa alisema hiyo ni mkakati wa kuimarisha ulinzi mifukoni, vinginevyo kilichoko mfukoni kwako umiliki wake unaweza kuhama bila wewe kujua
nipo hoi kwa kicheko.
utani mwingine sio
 
HAKUNA KABILA LA WACHAGA;

Kuna WAKIBOSHO, WAMACHAME, WA ROMBO, WA-OLD MOSHI, WA-MARANGU n.k hawa jamaa ni tofauti ni kama walivyo WASUKUMA NA WANYAMWEZI (kuna mambo wanafanana lakini pia lugha zina tofauti kubwa) tuongeze makabila TZ moshi yapo makabila mengi. If I am wrong I am also open to correction with evidence.

Nji hii ni yetu sote aisee
 
Ok hao wote uliwataja hapo kwa umoja wao huwa wao wanapojitenganisha na makabila mengine wanajiita wachaga.
Wakiwa moshi ndio wanaanza jiengua mkibosho , mmarangu , machame but wote wanaongea kichaga accent tu nitofauti.
 
Halafu ndilo kabila linaloongoza kwa kutoa wagombea urais wengi hapa tz!
 
Acha kejeli wewe!!! Mchaga gani amegombea urais 2010.
watu wengine bana!
Pigeni debe tu, sisi tunaendelea kusaka mahela, ngoja niwahi kariakoo nikacheki biashara zinaendaje, wewe wahii Bar.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Ok hao wote uliwataja hapo kwa umoja wao huwa wao wanapojitenganisha na makabila mengine wanajiita wachaga.
Wakiwa moshi ndio wanaanza jiengua mkibosho , mmarangu , machame but wote wanaongea kichaga accent tu nitofauti.

Aah jembe, accent ni lafudhi, isnt t? Sasa uchagani kuna Lugha tofauti kabisa, watu wanaotofautiana aksent huelewana, sasa huko hawaelewani kabisa. Hata ile salamu maarufu ya Shimboni, sehemu kama Rombo haipo kabisa.
 
HAKUNA KABILA LA WACHAGA;

Kuna WAKIBOSHO, WAMACHAME, WA ROMBO, WA-OLD MOSHI, WA-MARANGU n.k hawa jamaa ni tofauti ni kama walivyo WASUKUMA NA WANYAMWEZI (kuna mambo wanafanana lakini pia lugha zina tofauti kubwa) tuongeze makabila TZ moshi yapo makabila mengi. If I am wrong I am also open to correction with evidence.

Nji hii ni yetu sote aisee

Basi hamna waTanzania bali kuna waMassai..waPare..waNyakyusa n.k maana wanaongea lugha tofauti pia na hawafanani!
 
Acha kejeli wewe!!! Mchaga gani amegombea urais 2010.
watu wengine bana!
Pigeni debe tu, sisi tunaendelea kusaka mahela, ngoja niwahi kariakoo nikacheki biashara zinaendaje, wewe wahii Bar.

Pointi!
Haya we muuliza swali mbona hujauliza kuhusu wanaotikisa kiuno?Kushikana mikono kunaimarisha ukaribu!Una la zaidi?
 
Mkitaja kushikana viuno mna tusisimua wenye mihemko yetu.
 
Jamani acheni kuwatania wakwe na shemeji zangu. Na wewe NATA kwani wachaga ni watani zako ?
 
Back
Top Bottom