Eti wachaga wapokuwa pamoja katika furaha

Jamaa alisema hiyo ni mkakati wa kuimarisha ulinzi mifukoni, vinginevyo kilichoko mfukoni kwako umiliki wake unaweza kuhama bila wewe kujua


GRrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! :hatari:
 
Acha kejeli wewe!!! Mchaga gani amegombea urais 2010.
watu wengine bana!
Pigeni debe tu, sisi tunaendelea kusaka mahela, ngoja niwahi kariakoo nikacheki biashara zinaendaje, wewe wahii Bar.

Siyo lazima 2010 kwa miaka iliyopita hawa hapa

Mrema
Mbowe
Marehem Prof Shayo etc
 
HAKUNA KABILA LA WACHAGA;

Kuna WAKIBOSHO, WAMACHAME, WA ROMBO, WA-OLD MOSHI, WA-MARANGU n.k hawa jamaa ni tofauti ni kama walivyo WASUKUMA NA WANYAMWEZI (kuna mambo wanafanana lakini pia lugha zina tofauti kubwa) tuongeze makabila TZ moshi yapo makabila mengi. If I am wrong I am also open to correction with evidence.

Nji hii ni yetu sote aisee

Katika mifumo yetu ya kiafrika watu wanapongea lugha tofauti tayari huwa ni kabila tofauti. Kwetu hapa wachaga si kabila kwa sababu wana lugha nyingi na ambazo hazikaribiani hata kwa maana ya maneno. Ingependeza wachaga iwe ni umoja wa makabila ya kibosho, machame, uru, marangu, mashati, pasua, n.k
 
jamaa alisema hiyo ni mkakati wa kuimarisha ulinzi mifukoni, vinginevyo kilichoko mfukoni kwako umiliki wake unaweza kuhama bila wewe kujua

mkuu hapo umeniua na mbavu zangu.duh?mi ni mchaga lakini sijawai taniwa utani wa kabila nikacheka ka leo.pokea basi na kasenks
 
Lakini kama ni mkibisho akagundua kulia au kushoto kwake yupo Machamez atahama line au akimshika hamtazami usoni akitoka hapo ataelekea straight wash room kujitawaza mikono!!
*
 
haha kama wachaga fulani nasikia ukiwowa umekwisha kwani mtaa nbinaoishi zimebaki nyumba za kwa mama fulani huwezi sikia baba fulani
 
we nata wewe ka sio mpare una hatari wewe!!!!!

haha hawa rafiki zangu wanaweza kula nguna na picha ya samaki au anaweza kufa kwa njaa wakati ana kilo moja mfukoni lkn kwa kesi mh wanaweza uza ng'ombe kwa kesi ya kuku
 
Jamani acheni kuwatania wakwe na shemeji zangu. Na wewe NATA kwani wachaga ni watani zako ?

Mh mie nimeuliza swali tu...
Hao waliojibu majibu mbalimbali nahisi ndio wanautani nao maan mengine yanashiria kicheko.
 
haha kama wachaga fulani nasikia ukiwowa umekwisha kwani mtaa nbinaoishi zimebaki nyumba za kwa mama fulani huwezi sikia baba fulani

Mh haya ya kikale sana, sidhani kama bado yapo
 
Back
Top Bottom