Mbona sio TRA wanao ikusanya ? Nani anaikusanya hasa .Inaenda kuongezea makusanyo ya mapato
Leo hii ameonekana mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa kwenye soko la samunge kufuatilia wafanya biashara wadogo wadogo akifuatana na polisi huku akitoa onyo kuwa atawakamata wote ambao watashindwa kulipia hivyo vitambulisho.
Je hilo ndiyo kusudi halali la hivyo vitambulisho?
Unamlazimishaje mtu kupata msaada kama hataki?
Mbona sio TRA wanao ikusanya ? Nani anaikusanya hasa .
Pesa hii ndio ile anayopita nayo jiwe akigawa mitaani ili aonekane mtenda wema,kumbe shetaniHela ya hivi vitambulisho inaenda wapi ?
Unajua jiwe style zake za kutuibia zimehama kutoka calculated theft na kuwa UPORAJI WA NGUVU.Swali zuri sana hili Mkuu. Hii pesa itapigwa vibaya sana.
Unajua jiwe style zake za kutuibia zimehama kutoka calculated theft na kuwa UPORAJI WA NGUVU.
Umesema vitambulisho ndio ukombozi wa machinga, inakuwaje machinga wenyewe hawataki "ukombozi" huo hadi utumie nguvu "kuwakomboa"?
Sasa maRC ndio wanaingia mitaani kuwalazimisha wanunue vitambulisho kwa nguvu
Kwanini vitambulisho hivyo vinauzwa na polisi???Leo hii ameonekana mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa kwenye soko la samunge kufuatilia wafanya biashara wadogo wadogo akifuatana na polisi huku akitoa onyo kuwa atawakamata wote ambao watashindwa kulipia hivyo vitambulisho.
Je hilo ndiyo kusudi halali la hivyo vitambulisho?
Unamlazimishaje mtu kupata msaada kama hataki?
Kwanini vitambulisho hivyo vinauzwa na polisi???
Je mtu akinunua hivyo vitambulisho anapewa risiti ya TRA ??
Hakika hii ni seriali ya wanyongwe.
hivi wengi mnao piga kelele hapa ni wamachinga au waunza maneno hivi mnajua wamachinga walikuwa wanalipishwa ushuru kiasi gani?
now akilipa elfu 20 haguswi kwenye ushuru tena.
vitambulisho vimewasaidia sana wamachinga hapa kariakoo unaona kabisa mwenye kitambulisha ndo anatamba haguswi.
kumuondolea mmachinga msululu wa ushuru na kumtoza mala moja kwa mwaka ni msaada sana kwao
kwenye ukweli usemwe ukweli na sio siasa maji taka