Eti ukifanya hili imekula kwako!

Eti ukifanya hili imekula kwako!

Yah mamy kuna watu..wasichana wametulia sana na wanajua nini maana ya maisha aise

umeona eeeeh
wengine wana maadili na wameshakunjwa angali wabichi hata wakifika chuoni huwaga hawasahau walipotoka
 
Hii mbona simple tu,
Kama Unaogopa Kuchukuliwa Mchumba ambaye umemsomesha,
Kwanini Usimuoe kabisa ndo mkaendelea na mchakato wa kusomeshana??

Akimaliza chuo ni shidaaa mtindo mmoja
 
Ndio nimeelewa kwa nini mtoto wa mkuu wa kaya mkewe anasomeshwa na heslb pale udom!

Umeeona eee! Basi habari ndio Hiyo! Ukijichanganya tu Imekula kwako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom