Eti ukifanya hili imekula kwako!

Eti ukifanya hili imekula kwako!

wanaume wengi wamelizwa na hawa mabinti waliowasomesha....
LABDA UENDE MWENDO WA....Tenda Wema, Nenda zako..
yaani uko sawa kabsa,tena ukimfanyia mpango apate kazi!ndo utaona moto wake
 
......hao ni siri ya ndani!
Ukipata mke mshukuru mungu ukipata mwanamke pole zako....
siri za ndani zilikuwaga zamani zakatufanya tuamini wake za watu hawaliwi nje
sikuhizi hakuna Siri tena
 
Mbona zinacontradict sasa ambao hawajasomeshwa na wazaz wao hawataolewa au manake ukimsomesha humuoi na sisi ambao hatujamsomesha yusimuoe sasa sjui nan amuoe
 
Poleni kwa kulamba magalasa changeni Karata tena
labda mtalamba wazungu

Ishu ni kwamba, kuna baadhi ya mambo ni 'chemical change' na sio 'physical change', hayabadiliki, hasa sisi wengine wa imani ya Yerusalemu.
 
Yani hapo sitii neno, kuna msanii mmoja aliyaona hayo!

Artist: Freshly Mwamburi
Song: Stella Wangu

nilikuwa na mchumba wangu
tulipendana kama nyama choma
alibahatika kwenda ng'ambo
chuo kikuu kwenda kusoma
miaka mitatu kule Japani
kusomea udaktari
Stella wangu eeh

nilivyompenda Stella jamani
nikajitolea kwa roho moja
nikauza shamba langu
sababu yake yeye
nikauza gari langu
sababu yake yeye
nikauza ng'ombe na mbuzi
sababu yake yeye
ili apate nauli
na pesa zingine za matumizi
huko Japani

ilikuwa tarehe kumi na saba
mwezi wa tano
ilikuwa tarehe kumi na saba
mwezi wa tano
mwaka elfu moja tisa mia
tisaini na mbili
ndio ilikuwa tarehe kamili
ya Stella kurudi Kenya
nilikwenda uwanja wa ndege
ndio kumlaki Stella
nilikuwa na Uncle Kilinda
kwa uwanja wa ndege
nilikuwa na Basilima Mulomba
na mkewe na mtoto wake
nilikuwa na Uncle Mjomba
mtoto wa Mombasa

ghafla ndege ilipotua tuliona vituko
Stella alishuka amebeba
mtoto mikononi
nyuma yake mchumba wake mfupi
futi nne Mjapani
nilisikitika ndani ya moyo
nikakosa la kufanya
nilitamani nilie kikamba
lakini sikijui
ilinibidi nilie kijaluo
amatima ngoa choa
Freshly

nilitamani nilie kihindi
lakini sikijui
ilinibidi nilie kitaita
lugha ya baba na mama
ilinibidi nilie kitaita
iki mwana niponye vala
Freshly
...

Si unajua unaweza ukamchukua mwingine kutokea dukani kwa brother kama ilivyo kawaida yao!


Hahahaaa Bahati nzuri wa njia ile wazazi wao kwa asilimia kubwa wanamudu kusomesha watoto wao!
 
kweli mkuu wanawake wa chuo ni majanga hao ni wa kusogezea mda tu subiri amalize chuo ndo ugharamikie ila vihela vidogo dogo mpe coz ya kulipia utamu
 
Hii mbona simple tu,
Kama Unaogopa Kuchukuliwa Mchumba ambaye umemsomesha,
Kwanini Usimuoe kabisa ndo mkaendelea na mchakato wa kusomeshana??
 
Mbona zinacontradict sasa ambao hawajasomeshwa na wazaz wao hawataolewa au manake ukimsomesha humuoi na sisi ambao hatujamsomesha yusimuoe sasa sjui nan amuoe

Huja fuatilia thread vizuri?. Ambao hawajasomeshwa na wazazi wao, unazalisha kwanza halafu ndio unasomesha. Hapo hata akipata Handsome boy kuliko wewe lakini mwanao anauhakika wakula na kusomeshwa vilevile.
 
Ndio nimeelewa kwa nini mtoto wa mkuu wa kaya mkewe anasomeshwa na heslb pale udom!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom