Eti ukifanya hili imekula kwako!

Eti ukifanya hili imekula kwako!

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
1. Ukimsomesha Mchumba wako(Mwanamke), huta muoa. Akifika Chuo kikuu anachagua Mwanamme Mwingine.

2. Hata ukimsomesha Mkeo, akipata elimu atakufanyia vituko muacheni atafute Mume Mwengine.

3. Ukitaka kuoa Mwanamke msomi, Oa mwanamke alie someshwa na Wazazi wake.
 
Nitarudi badae:bolt:
 
Hao wake zenu ambao wana wanaume wengine ni wanachuo pia?
 
Mimi nimefurahishwa na signature yako tu, nadhani ulikuja ili tuione, big up!!!!!!!
 
Kila mtu ana akili yake na anafikiri tofauti
 
1. Ukimsomesha Mchumba wako(Mwanamke), huta muoa. Akifika Chuo kikuu anachagua Mwanamme Mwingine.

2. Hata ukimsomesha Mkeo, akipata elimu atakufanyia vituko muacheni atafute Mume Mwengine.

3. Ukitaka kuoa Mwanamke msomi, Oa mwanamke alie someshwa na Wazazi wake.

Leo naona ni 3 tu kila mahala (na kule kwenye mafanikio). Ila hizo point zimetulia sn. Kuna kamoja hapa eti oooh niongezee tuisheni feeee!! Acha ww, nika komalia hiyo point ya 1. na 3. Kwisha kazi yake!!
 
Sio kweli ni imani potofu tuu...

Jaribu uone, au uliza wenzako! Chezea Mwanamke wewe! Hua hawafikirii katika line yetu ya Fikra. They have got their own track of thinking. Na lazaidi, wao wana judge the presence only. To hell with your future.
 
Kabla hujaamua kumsomesha chuo kikuu hakikisha anakuzalia mtoto kwanza ili hata akipindua baadae,gharama ulizotumia na elimu aloipata itakua ni msaada Kwa huyo mwanenu.
 
dah watu man strategy balaaa nimekunawia mikono….
 
ni mtazamo tu msimjengee chuki japo baadhi yenu mlisha fanya hivyo
 
Kabla hujaamua kumsomesha chuo kikuu hakikisha anakuzalia mtoto kwanza ili hata akipindua baadae,gharama ulizotumia na elimu aloipata itakua ni msaada Kwa huyo mwanenu.

Kaka nakubali ushauri wako. Maana vidume wengi tu wamelia kwa kuwacha solemba!
 
Mara nyingi au naweza sema kwa asilimia kubwa au kwa mifano niliyoisikia kuna ukweli kiasi fulani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom