chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,289
- 25,680
Ibara ya 13(3) ya Katiba ya Tanzania 1977 inasema;Mahakamani wana idara au kitengo cha ueleweshaji?
Hekima na busara za Rais wa Tanzania zinapimwa kwa kutumia sanduku la kura au Ibara ya 37(2) ya Katiba ya Tanzania.Kwa hiyo zinapimwa kwa kutumia hisia zako wewe?
Nyani Ngabu is noboby!Kwa mujibu wa Nyani Ngabu.
hahahaLabda sijui kiswahili vizuri Kwani kuchochea ni kosa?
Upinzani Kigoma wadaiwa kuchochea maendeleo
Nikichochea maendeleo nitakamatwa ?🙄
Ajabu kabisa Kaka, Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Polisi walitanda kial kona kuhakikisha hakuna njama na kumzuia Magu kuwa Mwenyekiti wa Chama,Nani kavunja amani?
Wavunjifu wa amani ndo hao hao polisi na CCM yao.
Utaambiwa ni viongozi wa CDM wanaoshtakiwa kwa kusingiziwa makosa yasiyo na kichwa wala miguu!Nani kavunja amani?
Wavunjifu wa amani ndo hao hao polisi na CCM yao.
Ni upumbavu mtupu, kurupuka ya kapuku
Uzamivu wa wivu, uza mbivu kwa saba buku
Baba kakaba LUKU, siasa kahaba shuku
Sio Wamakonde Maraba lakini kwa mahaba ya kuku
Tutakula mpaka panya buku chukuchuku
Dukuduku, OSS, aliye juu mpandie, usimngoje hukuhuku
Chai kwa pipi, sukari kiki
Elimu bure vipi huku redio unafungia?
Misukule pipi wenzio unatuungia?
Idi Amin asiye makini, nyama la baharini
Majina manne ubini, diva kwini, kingi wa magirini
Pol Pot, Ze Comedy Joti, baba mkusanya noti
Gusa shoti, samasoti, mwendo wa speedboti
Baba bwabwaja, jinga la haja, baja kaja
Paji kaa paja, Opobo Jaja, Black Maharajjah
Bwabwa kiporo, watu kihoro, limelala doro
Chini godoro, Dar mpaka Moro, twapitia Muhoro?
Serikali kali, bila uhalali, kwa mtaji wa shari
Hii manuwari, itenda muhali, vipi hadi dahari?
Chama mrama, ndama kapama, maziwa yahama
Hili drama la karma kama Obama na Osama
Magufuli kasoma Chemistry mpaka Ph.D (ingawa kuna minong'ono kwamba Ph.D kafanyiwa, lakini hata bachelor tu inatosha)Labda sijui kiswahili vizuri Kwani kuchochea ni kosa?
Upinzani Kigoma wadaiwa kuchochea maendeleo
Nikichochea maendeleo nitakamatwa ?🙄
hata ukichochea mwendo tu nao ni uchocheziMchochezi tu! Uchochee maendeleo, uchochee moto... ni mchochezi tu!
Utachonga sana mwaka huu.Magufuli kasoma Chemistry mpaka Ph.D (ingawa kuna minong'ono kwamba Ph.D kafanyiwa, lakini hata bachelor tu inatosha)
Anatakiwa ajue definition ya catalyst na umuhimu wake katika chemical reaction.
Anavyo act anakuwa kama vile hajui kwamba upinzani unaweza kuwa ni catalyst katika Chemical reaction ya kutafuta maendeleo Tanzania.
Labda wamueleze hivyo kikemia ataelewa, maana siasa hawezi.
Dua la kuku halimpati mwewe; wahenga walisema.Karma itamlipa Magufuli
Sio mwaka huu tu. Miaka yote mimi ni top talker, kwa sababu nina cha kusema mara zote.Utachonga sana mwaka huu.