Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,035
- 142,951
- Thread starter
-
- #321
Check wanavyofukua Makaburi bila kujua msimamo wa GT
Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Nyumbu wanahitaji la kuvushwa mto Mara...ndicho kinachofanywa na GTsNdo maana wanaitwa wapumbavu.
Wanadhani labda wamevumbua mgodi wa dhahabu wakati msimamo wangu unajulikana wazi.
Nishamchana Magufuli humu mara kibao tu na nimeshawachana CHADEMA pia.
Sasa hawa nyumbu sijui walikuwa wapi!
tatizo huwa mnamsoma mwalimu nusunusu
Lini ulianza kumsoma Mwalimu badala ya maandishi?tatizo huwa mnamsoma mwalimu nusunusu
Mkuu huu uzi wako una uhai na utaendelea kula oxgen hadi mr chato atoke madarakaniHahahaa...mbona hakuna jipya.
Nimeshamchana mara kibao humu Magufuli.
Nikupe link ya threads zingine nilizomchana?
Kweli Wewe Ni jingalao[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG] Mwaka huu mtanena kwa lugha zote lakini lazima mnyooke...hakuna maigizo hapa ni kazi tu.
unamaanisha nini?Lini ulianza kumsoma Mwalimu badala ya maandishi?
Jinga kweli kweli.
Lala mapema utachelewa buku 7,
Shauri yako
kwani unadhani kiwanda cha nguo kinatengezaje nguo?mi mpaka leo staki kuamini watanzania waliamini kweli cherehani nne ni kiwanda!!!! na aliye sema ivo bado waziri!!!!
Mkuu huu uzi wako una uhai na utaendelea kula oxgen hadi mr chato atoke madarakani
Nimeipenda hii statement ya kikemiaMagufuli kasoma Chemistry mpaka Ph.D (ingawa kuna minong'ono kwamba Ph.D kafanyiwa, lakini hata bachelor tu inatosha)
Anatakiwa ajue definition ya catalyst na umuhimu wake katika chemical reaction.
Anavyo act anakuwa kama vile hajui kwamba upinzani unaweza kuwa ni catalyst katika Chemical reaction ya kutafuta maendeleo Tanzania.
Labda wamueleze hivyo kikemia ataelewa, maana siasa hawezi.
hakuna namna bila kutumia kemia huyo haelewi kitu kiongoziNimeipenda hii statement ya kikemia
Approach mpyahakuna namna bila kutumia kemia huyo haelewi kitu kiongozi
kwani unadhani kiwanda cha nguo kinatengezaje nguo?
jibu swali langukiwanda changuo kina jumla ya cherehani nne, au kinatumia cherehani kama moja wapo ya kifaa kutengeneza nguo???