Eti tabia hizi....mimba?

zethumb

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
610
137
Wasaalaam,
jamani kuna demu mmoja jiran anakula sana passion (matunda yale ya juice), na kila mara analalamika kuumwa, kuchoka na kufunga kaka, juzi nikasikia eti ana mimba, jamaa kwa dalili hizi tu mimba au? msaada wenu wajuzi.
 
Ha! Si useme tu kama ni demu wako na mimba ni yako? Inakuwaje demu wa jirani umfatilie kiasi hicho? Funguka kijana elezea kila kitu hadi kufikia kufakamia mapassion na eleza wasiwasi wako kuhusu hiyo mimba. Wataalam watakusaidia.
 
yaani wewe umem-mimba demu halafu unazuga wa jiran. sasa kama ni wa jiran wewe anakuhusu nini ama unataka kujua kama ulipo mrusha maji ilikatikia?

nafikiri wewe ulimrusha maji demu sasa unahofu imeshakatika na huna mpango nayo. lako hilo linywe
 
any way, jamaa si hivyo, dogo ndo nilikuwa nataka nifanye mipanga sasa katika pitapita ndo nimesikia hayo ya passion, je ndo jemba ishajenga mzinga nini?
 
yaani wewe umem-mimba demu halafu unazuga wa jiran. sasa kama ni wa jiran wewe anakuhusu nini ama unataka kujua kama ulipo mrusha maji ilikatikia?

nafikiri wewe ulimrusha maji demu sasa unahofu imeshakatika na huna mpango nayo. lako hilo linywe

Uuuuph kazi ipo mwaka huu.....Itabidi nijifikirie upya kama niliwahi au nilichelewa kuja mjini
 
Wasaalaam,
jamani kuna demu mmoja jiran anakula sana passion (matunda yale ya juice), na kila mara analalamika kuumwa, kuchoka na kufunga kaka, juzi nikasikia eti ana mimba, jamaa kwa dalili hizi tu mimba au? msaada wenu wajuzi.

Kila mimba huwa inakuja na dalili zake, hizi ni moja wapo.
 
Uuuuph kazi ipo mwaka huu.....Itabidi nijifikirie upya kama niliwahi au nilichelewa kuja mjini

umeona eeeh! sasa hapa bado yaani nd kwanza naanza kukuelimisha subiria utajua kweli mie ni mwl si tu wa sayans bal hata lugha lol!
 
Sasa ili jukwaa linabidi mda mwengine lazima liwe la kulipia kwa sababu wanajamii wengi wanafikiri kila mtu umu ni msanii kama walivyo baadhi ya waleta mada,,,Sasa wewe demu wa jirani wewe ina kuh nini si useme tuu kama ngoma imekatikia na unataka kumuachia mwenzio mzigo peke yake
Mkubwa tabia gani hiyo
 
Back
Top Bottom