Eti Sinta kaachika..

hahahahaha jamani mjue yenu dada wa watu yupo juu kama muashoki sasa kaachika mlijuaje na pia muacheni kama alivyo na kisomo chake kwanza msio lijua ni kama usiku wa giza tulizeni kimbelembele
aliachika mange,devota,mwamvita makamba na wengineo kama mbiki msumi, sasa sembuse pretty sintah?muacheni
 
Ahahahahahahaha..sasa cha ajabu kitu gani kaachika Mwamvita makamba sembuse sinta?angalieni changamoto zenu sio kuandika mambo ya kipuuzi tu,msilete mambo ya vibarazani hapa inabidi muongee vitu sensitive au kuna mtu anakula kupitia jina la sinta...acheni hizo mambo
 
Ahahahahahahaha..sasa cha ajabu kitu gani kaachika Mwamvita makamba sembuse sinta?angalieni changamoto zenu sio kuandika mambo ya kipuuzi tu,msilete mambo ya vibarazani hapa inabidi muongee vitu sensitive au kuna mtu anakula kupitia jina la sinta...acheni hizo mambo

Wewe jiulize kwa nini hatukujadili wewe badala yake tunamjadili Sinta?? Sinta ni public figure ndo maana anajadiliwa, ukishakuwa public figure unakuwa vulnurable kwa public eyes and discussions!
 
ila jamaa kafaidi tangu 2009 anagonga tu mzigo afu alimchukua akiwa bado mbichimbichi vipi yuko vilevile au kazeeka? Bora sasa awaletee kina Wema Sepetu ushindani kidogo

Pukudu@ Ilkiding'a, Arusha
 
Yan tunaacha kudiscuss masuala muhmu yanayo2kabili sis watanzania,eti 2kae kudiscus upumbavu wa mtu mmoja,kwanza ye ni nan?
 
[B said:
mchapa shughuli[/B];2017363]Habari za kuaminika zimepatikana yule dada aliyesumbua magazetini maarufu kama Sinta ndoa yake aliyofunga na kijana wa kiganda mwaka 2009 imefunjika na amerejea rasmi jijini Dar.

Kwahiyo unataka ukaolewe wewe UKACHAPE SHUGHULI huko Zenji sio?? Sema tuanzishe michango humu jamvini kukuandalia Kitchen party yako!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom