Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Chuo gani unasoma tena na uandishi huu labda Chaurembo kompyutingi senta.
Hahaaahaaa
Last edited by a moderator:
Chuo gani unasoma tena na uandishi huu labda Chaurembo kompyutingi senta.
thatz great thnx
Mwanafunzi wa CHUO (sijui Kikuu?!). Upo na ''mpenzi mwingine'' kwa sasa. Kuna dame aliyekumwaga zamani, ati sana anakutaka. Unakuja kuomba ushauri JF kitu cha kufanya!? Wonders shall never end.

.....To learn is through others experience kuwa university co kujua kila kitu kweli na ww ni kilaza sana take advantage from others mistake to make you the best. Stup...d
you don't know anything about me...acha kujibaraguza.
Kama hizi ndio fikra za wasomi wetu huko vyuoni...sishangai kuona kwanini TANZANIA mpaka chupi tunaagiza nje.....
Hiyo ndiyo product ya vyuo vikuu vya kata,,,,,,,,,,,,,,,,,majibu anayo lakini bado anataka ushauri,,,,,,,,,,,,,
Ni kijana 26 miaka npo chuo.
Mwaka juzi nlimtaka dada mmoja niliehitaji awe wa maisha kwangu aliniambia sina hata hadhi ya kumgusa, nilifanya ubnadamu kuwa nae karibu ila kwa sasa ananipa taabu sana muda wote analia ananipenda.
Kuonyesha yupo siriazi kaenda kwa dean of student ili nimuamini anavyonpenda eti nimkubalie ili asifeli masomo.matusi aliyowahi kunipa ni kwamba
sina hadhi hata ya kumgusa wala siendani nae, kwamba niwe najiangalia vizuri kabla sijaparamia watu, kwamba hata angenikubalia nisingeweza kumgegeda kwa kuwa hana hata chembe ya upendo.
Leo anajua nipo na mpenzi mwingine anasema yupo tayari awe spair, eti yupo tayari kufanya chochote ninachohitaji kwake.
Ushauri ndugu zangu nipo makini sana na yote nnayoyafanya.
Thanx much

Soma kwanza mapenzi baadaye ukishakusanya chambichambi...
a "cynical- consultant" hahaaaaa kinakushangaza kipi ? To learn is through others experience kuwa university co kujua kila kitu kweli na ww ni kilaza sana take advantage from others mistake to make you the best. Stup...d