BURTON JNR
Member
- Jul 16, 2014
- 61
- 15
Ni kijana 26 miaka npo chuo.
Mwaka juzi nlimtaka dada mmoja niliehitaji awe wa maisha kwangu aliniambia sina hata hadhi ya kumgusa, nilifanya ubnadamu kuwa nae karibu ila kwa sasa ananipa taabu sana muda wote analia ananipenda.
Kuonyesha yupo siriazi kaenda kwa dean of student ili nimuamini anavyonpenda eti nimkubalie ili asifeli masomo.matusi aliyowahi kunipa ni kwamba
sina hadhi hata ya kumgusa wala siendani nae, kwamba niwe najiangalia vizuri kabla sijaparamia watu, kwamba hata angenikubalia nisingeweza kumgegeda kwa kuwa hana hata chembe ya upendo.
Leo anajua nipo na mpenzi mwingine anasema yupo tayari awe spair, eti yupo tayari kufanya chochote ninachohitaji kwake.
Ushauri ndugu zangu nipo makini sana na yote nnayoyafanya.
Thanx much