Eti shetani kanipitia!!!!?

Eti shetani kanipitia!!!!?

Tabia ya mtu mmoja isikufanye utujumuishe wote tusiomani, kwa mfano nikiona mtu mmoja anayeamini ni mjinga haimaanishi wote mnaoamini ni wajinga.
Ni kweli ila wengi wenu kwa humu Jf mpo hivyo mkuu.
 
Sina Giza wala ukungu. Niko vizuri.
Kwa sababu, nimesema dini zote ni uchwara na uongo!? Kama, hujui basi tafiti chanzo cha hizo dini.

Nikuulize swali hil, Je, unajua ni kwa nini Roman Catholic Church, wanazika wafu kanisani !?
Yaani, kama pale Arusha waliopigwa bomu walizikwa pale kanisani unajua sababu !?
Mimi sijui kwa nini, hebu niambie nijue?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti shetani kanipitia, ni mawazo yako tu unapofikiria ubaya ndio shetani na wema ni Mungu. Shetani hakupitii ila wewe umejipitia mwenyewe. Ni vitu vya kufikirika kwani shetani hajawahi kuonekana wala Mungu. Pambana na vitu vinavyoonekana ujue kutenganisha kati ya jema na baya. Usimtendee binadamu mwenzako kitu ambacho hutaki utendewe, ishi na imani hiyo tu inatosha vingine vyote ni ziada

Kweli asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina hakika kama umeshaongea nao wote waliomo humu,wapo wengi na wengine huwa hawabishani kabisa, so don't generalize bro.
Nimesema wengi(sio wote) kwa makisio ya wale wenye kubishana humu.
 
Eti shetani kanipitia, ni mawazo yako tu unapofikiria ubaya ndio shetani na wema ni Mungu. Shetani hakupitii ila wewe umejipitia mwenyewe. Ni vitu vya kufikirika kwani shetani hajawahi kuonekana wala Mungu. Pambana na vitu vinavyoonekana ujue kutenganisha kati ya jema na baya. Usimtendee binadamu mwenzako kitu ambacho hutaki utendewe, ishi na imani hiyo tu inatosha vingine vyote ni ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawezaje kujua jema na baya? maana binaadamu tunatofautiana jambo baya kwako ila kwangu mie naweza kuona la kawaida tu.

Hebu nielimishe hapo.
 
Ni kweli kabisa shetani huwa anawapitia watu kwenda kutenda dhambi, hafai kabisa shetani, ndo maana mie huwa simpendi, na ananiogopa mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo shetani ni kiumbe kimoja au wapo wengi? Maana dunia ina watu takribani 7.5 billion, embu niambie huyo shetani anawezaje kuwahadaa watu wengi kwa wakati mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada anataka kujua kupitiwa na shetani hasa ndiyo inakuaje? sidhani kama kataka kujua nani aliyemtengeneza shetani,hata jambo la uongo pia lina elezwa na mtu anaelewa ila wewe unaona habari za shetani ni uongo ila hujui ni vp maana ya mtu kupitiwa na shetani na pengine ndiyo maana huwezi kuelezea.

Halafu pia mkuu sasa kama hizo dini ni za wazungu na waarabu ilikuwaje zikawepo mataifa mengine wasio wazungu wala waarabu?
Nakumbuka darasa la sita tulijifunza topiki ya umisionari na kazi yake ilikuwa ni kusambaza dini zao
 
Back
Top Bottom