streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 476
Moja ya kauli ambazo watu wengi hutumia kujiplease pale wanapofanya jambo baya ni hii ya shetani kumpitia mtu.
Huwa najiuliza unakuwa wapi pale hichi kitu kinachoitwa shetani kinapokupitia?
Je huwa kinakupitia kwa usafiri gani?
Huwa unakitaarifu ili kikupitie au kinajileta chenyewe?.
Na Kikikupitia huwa kinakupeleka na kukurudisha au kinakuacha huko huko?
Je na wewe ulishawahi kukipitia?
Ili mtu akupitie lazima muwe mnajuana kabla au kufahamiana, je hichi kitu huwa mnafahamiana nacho mpaka kiwe na mazoea ya kukupititia?
Sent using Jamii Forums mobile app