Eti refa akiharibu mchezo wa kesho tutamfunga!

Eti refa akiharibu mchezo wa kesho tutamfunga!

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,609
Reaction score
7,169
Hii ni kauli ya Karia,kwahiyo siku hizi masuala ya mpira yanapelekwa mahakamani? Wakati jamaa fulani walikuwa wanapeleka kesi mahakami,si mlipiga kelele kuwa masuala ya mpira hayapelekwi mahakamani,sasa imekuwaje?
 
Wazee wakushinda 6 kwenye league ila wakifika kimataifa chalii
 
Back
Top Bottom