Eti ni kweli?

Eti ni kweli?

Hawi Malaika! Akizeeka anakua Jini .
Do you know a difference between Devil (Satan) and Angel?
 
shetan hazeeki bana! kwan ushasikia malaika wanazeeka? kwan shetan naye alikuwa malaika wa nuru bt alimuasi Mwenyez Mungu ndo akatupwa duniani. so kuna malaika wa nuru ambao ni malaika wa Mungu na kuna malaika wa giza ambao ni mashetan. . .
 
we unachofahamu ni nini Erickb52
Mi namjua Mungu tu YNNAH mambo ya shetani ni magumu coz shetani ni ni watu na maisha yetu ya kila siku
He/She is UNSEEN so hakuna mwenye jibu la kama anazeeka au Lah
BTW
Mambo yako?
Mi mzima.
Gud nyt mama!
 
Last edited by a moderator:
Mi namjua Mungu tu YNNAH mambo ya shetani ni magumu coz shetani ni ni watu na maisha yetu ya kila siku
He/She is UNSEEN so hakuna mwenye jibu la kama anazeeka au Lah
BTW
Mambo yako?
Mi mzima.
Gud nyt mama!
ok, mie pia mzima ila nilikumiss sana
 
Back
Top Bottom