Eti ni kweli wanawake wana tabia ya kupitiliza?

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
10,513
10,404
Kama hukumzoesha mwenyewe tabia fulani tangu mwanzo, kamwe mwanamke hawezi kuanza tu ghafla! Mara nyingi wanawake wakiwa wanatafuta kuolewa wana-pretend 'wapole' sana. Wakishaingia 'mjengoni' wanakuwa tofauti kabisa. Hii kwa kiasi fulani huchangiwa na sisi wanaume wa kiafrika, tunaponzwa na kuiga maisha ya kidhungu. Mwanaume anaoa mke halafu ananza kumdekeza, oooh honey, darling, sweetheart...na kumbebea mikoba mnapotoka na kila aina ya midekezo. Sasa wanawake huwa wana tabia ya kupitiliza. Ukianza hivyo, naye anafanya zaidi plus nyodo kibao, mnaishia kuishi maisha feki na kuhatarisha ndoa yenu!

Angalizo kwa wanaume: Ukioa halafu ukazidisha mbwembwe za kidhungu, lazima mke akushinde.

Huu mtizamo jamani umekaaje? maoni yako ni muhimu sana......
 
Sawa Baloteli..ila mimi nitadekeza tu..acha anishinde!! Kudekeza kuna raha yake bwana...wewe ukae na jitu kamundu halideki wala hainogi!!!

haya mkuu, kila la kheri!!!
 
Sisi ni kama hatujielewi vile.

Baadhi yetu ni kana kwamba tunaupinga 'uzungu' kwenye mambo ya mapenzi halafu tunaukumbatia kwenye mambo mengine.

in either side kwangu naona ni ulimbukeni tu
 
Sawa Baloteli..ila mimi nitadekeza tu..acha anishinde!! Kudekeza kuna raha yake bwana...wewe ukae na jitu kamundu halideki wala hainogi!!!

Hahahaaaa.... Mweleze ndugu yangu...Mwanamke kudeka muhimu..
 
Kama hukumzoesha mwenyewe tabia fulani tangu mwanzo, kamwe mwanamke hawezi kuanza tu ghafla! Mara nyingi wanawake wakiwa wanatafuta kuolewa wana-pretend 'wapole' sana. Wakishaingia 'mjengoni' wanakuwa tofauti kabisa. Hii kwa kiasi fulani huchangiwa na sisi wanaume wa kiafrika, tunaponzwa na kuiga maisha ya kidhungu. Mwanaume anaoa mke halafu ananza kumdekeza, oooh honey, darling, sweetheart...na kumbebea mikoba mnapotoka na kila aina ya midekezo. Sasa wanawake huwa wana tabia ya kupitiliza. Ukianza hivyo, naye anafanya zaidi plus nyodo kibao, mnaishia kuishi maisha feki na kuhatarisha ndoa yenu!

Angalizo kwa wanaume: Ukioa halafu ukazidisha mbwembwe za kidhungu, lazima mke akushinde.

Huu mtizamo jamani umekaaje? maoni yako ni muhimu sana......

Aaaaaaaaaaaaa babu weeeeeeeee mwanamke kudekezwa ndio raha sio unakua kama mwanajeshi atakukimbia aende anakodekezwa,mdekeze kiasi chake ajisikie raha,mke akikushinda ujue imekushinda MIZUNGU.
 
Hahahaaaa.... Mweleze ndugu yangu...Mwanamke kudeka muhimu..

umesema kweli, ila umesoma angalizo? ukazidisha mbwembwe za kidhungu.......

shida ni kwamba hapa unatetea lakini yakikufika unaanza tena kulalamika bila kujua kuwa chanzo ni wewe
 
Kama hukumzoesha mwenyewe
tabia fulani tangu mwanzo, kamwe mwanamke hawezi kuanza tu ghafla! Mara
nyingi wanawake wakiwa wanatafuta kuolewa wana-pretend 'wapole' sana.
Wakishaingia 'mjengoni' wanakuwa tofauti kabisa. Hii kwa kiasi fulani
huchangiwa na sisi wanaume wa kiafrika, tunaponzwa na kuiga maisha ya
kidhungu. Mwanaume anaoa mke halafu ananza kumdekeza, oooh honey,
darling, sweetheart...na kumbebea mikoba mnapotoka na kila aina ya
midekezo. Sasa wanawake huwa wana tabia ya kupitiliza. Ukianza hivyo,
naye anafanya zaidi plus nyodo kibao, mnaishia kuishi maisha feki na
kuhatarisha ndoa yenu!

Angalizo kwa wanaume: Ukioa halafu ukazidisha mbwembwe za kidhungu,
lazima mke akushinde.

Huu mtizamo jamani umekaaje? maoni yako ni muhimu sana......

Well said mkuu,tena hasa mwanamke akigundua hizo" honey honey" ni za ukweli andika maumivu! Maisha ya kuigiza hayana mpango, yani sometime inabidi uwe na tabia kama za waume wa kikurya wa zamani! yani kwenye kumuita jina achana na mambo ya sweet, my love n.k, we muite "aroo mama .... hebu kuja ndani mara moja"! hapo kdg mtakwenda sawa.
 
Aaaaaaaaaaaaa babu weeeeeeeee mwanamke kudekezwa ndio raha sio unakua kama mwanajeshi atakukimbia aende anakodekezwa,mdekeze kiasi chake ajisikie raha,mke akikushinda ujue imekushinda MIZUNGU.

Kwa kuzingatia hapo kwa red, nadhani wewe tunaongea lugha moja! in fact, ulichosema kwa red ndo msingi wa hilo angalizo kwenye post
 
Well said mkuu,tena hasa mwanamke akigundua hizo" honey honey" ni za ukweli andika maumivu! Maisha ya kuigiza hayana mpango, yani sometime inabidi uwe na tabia kama za waume wa kikurya wa zamani! yani kwenye kumuita jina achana na mambo ya sweet, my love n.k, we muite "aroo mama .... hebu kuja ndani mara moja"! hapo kdg mtakwenda sawa.

Nimependa zaidi the reddish
 
Aaaaaaaaaaaaa babu weeeeeeeee mwanamke kudekezwa ndio raha sio unakua kama mwanajeshi atakukimbia aende anakodekezwa,mdekeze kiasi chake ajisikie raha,mke akikushinda ujue imekushinda MIZUNGU.

naona hapo lugha Gongana kuna MIZUNGU na UZUNGU nivitu 2 tofauti hapo MIZUNGU niwale wa Dada walio Chezwa n UZUNGU naona nihuo wa KUIGA MAMBO....kutoka Europe nk.. NAWASILISHA........
 
Dawa ya msichana ni kumvurugia hali yaani mara umdekeshe mara umtriti serious TATIZO LA KUPITIRIZA HALIFANYI NG'O COZ ANAJUA HILI JAMAA HALISOMEKI SASA WE ROGWA UTUMIE UDICTETA UONE KAMA UTAFIKA NAE MBALI HAWA WATU HUWA WANANENEPA KWA AMANI NA CARE NO WHAT KIND OF FOOD U FEED HER.
 
deka, dekeza,dekezwa nk, kwangu mimi naona ni negative tu, iwe kwa mpenzi, mtoto nk. Kudekeza hakuwezi hata siku moja kukawa ni expression ya love.
 
Kuna mtu hapa jamvini (simkumbuki) aliwahi ku-comment kwamba inatakiwa mwanamke asikuelewe, yaani uwe kinyonga. I think this is what you mean hapo kwa red ya kwanza

Hiyo red kubwa hapo chini inasomeka vema
 
deka, dekeza,dekezwa nk, kwangu mimi naona ni negative tu, iwe kwa mpenzi, mtoto nk. Kudekeza hakuwezi hata siku moja kukawa ni expression ya love.

Daah! we sasa ndo umenitoa kwenye line of thinking kabisa! unaweza kujazia nyama kidogo hapo kwa red mkuu?
 
Back
Top Bottom