Eti ni kweli wanawake wana tabia ya kupitiliza?

Kuna mtu hapa jamvini (simkumbuki) aliwahi ku-comment kwamba inatakiwa mwanamke asikuelewe, yaani uwe kinyonga. I think this is what you mean hapo kwa red ya kwanza

Hiyo red kubwa hapo chini inasomeka vema

Nashukuru kwa uekewa wako mzuri
 
Kama hukumzoesha mwenyewe tabia fulani tangu mwanzo, kamwe mwanamke hawezi kuanza tu ghafla! Mara nyingi wanawake wakiwa wanatafuta kuolewa wana-pretend 'wapole' sana. Wakishaingia 'mjengoni' wanakuwa tofauti kabisa. Hii kwa kiasi fulani huchangiwa na sisi wanaume wa kiafrika, tunaponzwa na kuiga maisha ya kidhungu. Mwanaume anaoa mke halafu ananza kumdekeza, oooh honey, darling, sweetheart...na kumbebea mikoba mnapotoka na kila aina ya midekezo. Sasa wanawake huwa wana tabia ya kupitiliza. Ukianza hivyo, naye anafanya zaidi plus nyodo kibao, mnaishia kuishi maisha feki na kuhatarisha ndoa yenu!

Angalizo kwa wanaume: Ukioa halafu ukazidisha mbwembwe za kidhungu, lazima mke akushinde.

Huu mtizamo jamani umekaaje? maoni yako ni muhimu sana......

hiyo title yako imeniacha hoi kweli..
 
Back
Top Bottom