Eti ni kweli wanawake wana tabia ya kupitiliza?

Sawa Baloteli..ila mimi
nitadekeza tu..acha anishinde!! Kudekeza kuna raha yake bwana...wewe
ukae na jitu kamundu halideki wala hainogi!!!

teh!anakuwa kama mgambo!mtoto wa kike madeko bhana,especially ukipata pa kudekea
 
tatizo wanaume wengi wa kibongo siyo romantic madai hawaendekezi utasha...hata mtu kuwa mbunifu anashindwa yanabaki majungu tu ooh mambo ya kugeza wazungu..

Kama wanawake wengine wabadilikavyo kwenye ndoa hali kadhalika na wanaume wanabadilika..ndiyo maana kuna kuvumilia, kuwasiliana na ku-compromise mambo mengi..ukibaki kuiga ya wengine ndoa inakuwa ngumu. kumbuka matatizo ya ndoa A ni tofauti na ya ndoa B..hata kama ni sawa lakini jinsi ya kutatua hayo matatizo ni tofauti sana japo wote wapo ndoani.
 
wana jf mna mambo sana nyie.........

Ishi maisha yenu muwezavyo.......

Kabla ya ndoa chunguzaneni vya kutosha........mambo ya kujuana ndani ya mwaka mmoja mnafunga ndoa yana matatizo.....

Na ndoa huwa hazifanani kila moja ina style yake..... Chezeni kutokana na midundo ya ndoa zenu
 
umemaliza madame
 
BADILI TABIA umekwepa swali bana, this is too broad!
 
tatizo wanaume wengi wa kibongo siyo romantic madai hawaendekezi utasha...hata mtu kuwa mbunifu anashindwa yanabaki majungu tu ooh mambo ya kugeza wazungu..

Kama wanawake wengine wabadilikavyo kwenye ndoa hali kadhalika na wanaume wanabadilika..ndiyo maana kuna kuvumilia, kuwasiliana na ku-compromise mambo mengi..ukibaki kuiga ya wengine ndoa inakuwa ngumu. kumbuka matatizo ya ndoa A ni tofauti na ya ndoa B..hata kama ni sawa lakini jinsi ya kutatua hayo matatizo ni tofauti sana japo wote wapo ndoani.

Kama nimekupata vizuri, in a way unakubaliana na mtizamo wa mada (hapo kwa red)
 
nicpo dekezwa hiyo ndoa nitaiona shubiri.
kama nakupa heshima yako kama mume sio boyfriend, kwanini usinidekeze?
ntaona unanijali kwakweli.
hiyo ya kikurya STUPID!!!!!!!
 
kumbe kudekeza ni kujali eehe!
 
Kudeka kuna difinisheni pana mno, integemea na muhusika anavo kudifine. Deko na uvivu ni majirani mno kiasi cha mmoja kutafsiriwa kama mwingine!
 
Kudeka si uvivu mkuu..
Mwanamke anayedeka ni yule ambaye mumewe anamcare tena kwa mapenzi ya moyoni,siyo mpaka mke akuombe kudeka.
Kama ukizoea kumdekeza mwenzio utaona ni kawaida sana,ila kama hujazoea utahisi Kama mkeo ni mvivu na kama anakuchosha.
 
jamani kwenye maisha kuna muda wa kudekezana na muda uso wa kudekezana hata mtoto kuna muda uamdekeza na kuna muda unakuwa kwake firm ili ajue wapi pa kupata liwazo na wapi pa kuwajibika. hii ni according to mimi
 
hatujakataa mwanamke kudeka bt point aliyosisitiza ni kua asizidishe manake hata yeye mwenyewe mwanamke atasahau hata kumhudumia mumewe..

Kudeka kwangu hakuzuii mie kutimiza majukumu yangu kwa mume wangu... Hata uko kudeka ninakokuzungumzia sio kila siku kila saa... Kuna muda wake Kaka...! Hivyo mwanamke kudeka muhimu panapo nafasi..!
 
Wasiojua kudekeza lazima wakatae watu wao kudeka.

Mkiwa wenyewe chumbani/nyumbani baada ya uchovu wa kutwa nzima na majadiliano ya kimaendeleo mshamaliza mnafanya nini tena?
 
Inategemea na anavyojitambua, wakati flani malezi ya kwao huchangia maana kuna baadhi ya family zingine amani sio mpango wao yaani mwanaume akitulia mwanamke anakua wenge sasa iliutulivu uwepo inakulazimisha mwanaume ukuwe bandidu sasa hii inatofautiana na ile family inayoheshimiana na upendo kwa kiwango cha 100.
Nb_makinika sana na wadada wale wanaotokea kwenyefamiy ambazo mama ndio kichwa hao bhana huwa hawapendeki coz kila utakalofanya atakuchukulia wewe kama dingi wake alivyoshikwa huko home kwao...
 
Kudeka kuna difinisheni pana mno, integemea na muhusika anavo kudifine. Deko na uvivu ni majirani mno kiasi cha mmoja kutafsiriwa kama mwingine!

nimependa hiyo relationship ya deko na uvivu
 
Wasiojua kudekeza lazima wakatae watu wao kudeka.

Mkiwa wenyewe chumbani/nyumbani baada ya uchovu wa kutwa nzima na majadiliano ya kimaendeleo mshamaliza mnafanya nini tena?

Mmmh Lizzy sidhani kama uko sahihi hapo kwa red
 
jamani kwenye maisha kuna muda wa kudekezana na muda uso wa kudekezana hata mtoto kuna muda uamdekeza na kuna muda unakuwa kwake firm ili ajue wapi pa kupata liwazo na wapi pa kuwajibika. hii ni according to mimi

pamoja sana sista
 
Back
Top Bottom