Mtu akiwekewe mafuta taa masikoni ni kweli hufariki papo hapo?

Nimesikia mahali kuwa mafuta taa ni sumu ya hatari sana kwamba mtu akimiminiwa ndani ya masikio hata dakika 5 hamalizi ngoma za masikio hupasuka na kufariki papo hapo.

Jee ni kweli?
wabongo wana uongo mwingi sana. uongo mwingine ulikuwa ukimwagia nyoka au kenge chumvi, anakatikakatika. na hakuna hata aliuyewahi kujaribu, ila anaamini ni kweli. ati uweke chumvi mlangoni mwa shimo la nyoka, akipita anaenda kukatikakatika.
 
Back
Top Bottom