eti ni kweli kuhusu hawa wana jf?

eti ni kweli kuhusu hawa wana jf?

Eti ni kweli FF ni mwanaume?
Eti ni kweli Lizzy ni under 18?
Eti ni kweli Afrodenzi ni mke wa mwita25?
Eti ni kweli Invisible hapatani /hawaivi na Paw?
Eti ni kweli Rejao ni J. Makamba?


Kati ya hayo yote nadhani hiyo ya FF inakaribia kuwa kweli!
 
The Finest - mkwe wangu kwa mwanangu wa kwanza hivi kuna watu umewatangazia uko Single?
Umesahau kama mama mkwe wako yuko hapa?
Mkwe Mkwe Mkwe naomba vijimaelezo vya kina:lol:
Mkwe kumbe huwa unakuja Chit Chat...aisee sikujua kuanzia leo sitii tena maguu huku..lol
 
mmmmh, sauti laini sredini?
Yangu kama ya mke wa mzee small.
 
Nadhani nimeingia choo cha watoto! Natoka mbio!
 
Eti The Finest yupo single?
Eti Mwanakiji haish kijijin?
Eti Kongosho ana sauti lain?
Eti kuna memba kaibiwa bwana hapa?
Eti kuna pati ya jf kubwa hufanyka hualikwa wene majna tu?
Eti jukwa la MMU lina watu wake?
Eti ukutulia inawezkana kupata mume hapa?
Eti ni kweli yote hayo?
Eti ni kwel MTM ni dj?

GM
nimegundua kwamba kwa hapa JF ili upate ka-fevor flan toka kwa members,anzisha thread inayohusiana na ID za wahusika.......😛oa😛oa
 
Eti The Finest yupo single?
Eti Mwanakiji haish kijijin?
Eti Kongosho ana sauti lain?
Eti kuna memba kaibiwa bwana hapa?
Eti kuna pati ya jf kubwa hufanyka hualikwa wene majna tu?
Eti jukwa la MMU lina watu wake?
Eti ukutulia inawezkana kupata mume hapa?
Eti ni kweli yote hayo?
Eti ni kwel MTM ni dj?

GM
aiseee huyu DJ anapatikana club gani
 
eti GM hana kazi za kufanya,ana siku 12 jf lakini anapost 435?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom