Golden Mpoleeee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 572
- 206
- Thread starter
- #21
Golden Mpoleee...nakusalimu
wenye wiv wajnyonge! The Finest kanisalm.
Golden Mpoleee...nakusalimu
mwl wako alikua kilaza.
weeeeeeee kasome Biblia yako (kama ni mkristo)uone swali lilimponza Eva kwa Nyoka Mwanzo 3:1-...
:lol::lol:..naomba unishirikishe kwenye Research yako..
Ujasikia chochote kuhusu mimi?
Kiingilio dola 10,000 unalipa cash..lolMi pia. . .
nilshawah kua mwl wa sande sch. Acha kunitisha!
Kiingilio Dola 10,000 unalipa cashmie naomba nishirikishwa kwenye analysis ya hiyo research
Mi pia. . .
anasema eti unamiliki wawili kwa mpigoUjasikia chochote kuhusu mimi?
Kiingilio Dola 10,000 unalipa cash
Mwalimu alinifundisha swali likianza na "eti" likimbie kabisa
Kiingilio Dola 10,000 unalipa cash
nataka kugonga like lakini nasita ....nafikiria walichojifunza hao wanafunzi!!
Kiingilio dola 10,000 unalipa cash..lol
Jibu swali langu kwanza...lol..Research utanishirikisha?
Ali Kiba - Single Boy (ft. Lady Jay Dee) -2012 - YouTube