Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
Hhhm hiyo simu ntaangalia maana vitu vingi kumbukumbu haikai kichwani. Hiyo mbwa wenu alikua anatokea Sinoni nini? Ngoja niulize mtaani kama kuna mbwa kaonekana akiranda randa.
nitashukuru sana ukiiona hiyo simu nimabie.... nitakufikiria na wewe angalau kwa kazi hiyo nzuri.... kuhusu huyo dog, alikuwa akitokea maeneo ya Uzunguni juu kidogo ya breweries