eti ni kweli kuhusu hawa wana jf?

so who is Priciple investigator, researcher, analyst, enumerator, data manager, accountant, na jina la hiyo research team???

Mimi, Afro na Fynest. . .
Wewe utakua wa kutuletea maji, chakula, kufanyafanya usafi na kutupangia vitu vizuri.

Jina. . . . WATEULE!!
 
neno la bblia rahs kufunza tatizo tu kwenye utendaj.

ndio maana nilisita.... maana nafikiria sasa utendaji kwa mwalimu ama kwa wanafunzi!!!! sijui nani alikuwa anashindwa kulitenda!! kichwa changu kinawaza leo!!
 
Mimi, Afro na Fynest. . .
Wewe utakua wa kutuletea maji, chakula, kufanyafanya usafi na kutupangia vitu vizuri.

Jina. . . . WATEULE!!

haina shida ila mniruhusu tu kuwa signatory wa account
 
Eti ni kweli FF ni mwanaume?
Eti ni kweli Lizzy ni under 18?
Eti ni kweli Afrodenzi ni mke wa mwita25?
Eti ni kweli Invisible hapatani /hawaivi na Paw?
Eti ni kweli Rejao ni J. Makamba?
 
Eti ni kweli FF ni mwanaume?
Eti ni kweli Lizzy ni under 18?
Eti ni kweli Afrodenzi ni mke wa mwita25?
Eti ni kweli Invisible hapatani /hawaivi na Paw?
Eti ni kweli Rejao ni J. Makamba?

Lizzy ni under 16...
Mwita25 ni nani huyo ??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom