Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
:lol:....Mchungaji kwani wewe kanisani huwa haupokei sadaka....
Ngoja niongee na Kurwa kwanza...lol
:A S embarassed::A S embarassed:......
Trust me. . .
:lol:....Mchungaji kwani wewe kanisani huwa haupokei sadaka....
Ngoja niongee na Kurwa kwanza...lol
:A S embarassed::A S embarassed:......
eti ni kweli BAGAH ni bonge la HB
Jifunze kulink vizuri matukio...this is too low mkuuEti ni kweli FF ni mwanaume?
Eti ni kweli Lizzy ni under 18?
Eti ni kweli Afrodenzi ni mke wa mwita25?
Eti ni kweli Invisible hapatani /hawaivi na Paw?
Eti ni kweli Rejao ni J. Makamba?
Eti kweli Golden Mpole ni kichaa aliyekimbia matibabu kule milembe?
Lizzy ni secretary maeneo ya Unga Ltd?
majibu ya namna hiyo??! napata picha katoto kametoka sunday skul unakauliza halafu kanakujibu ... acha kujifnaya mjuaji!!??kinini?
Hahaha uringe?
Nna-menage vitu wanavyokwapua waporaji wa mtaa so kind of!!
Rejao polisi!Eti The Finest yupo single?
Eti Mwanakiji haish kijijin?
Eti Kongosho ana sauti lain?
Eti kuna memba kaibiwa bwana hapa?
Eti kuna pati ya jf kubwa hufanyka hualikwa wene majna tu?
Eti jukwa la MMU lina watu wake?
Eti ukutulia inawezkana kupata mume hapa?
Eti ni kweli yote hayo?
Eti ni kwel MTM ni dj?
GM
ndio maana nilisema sisemi!!
Hahaha. . . hata hii ni kazi kama nyingine.
Kuna kitu unahitaji niangalie kwenye kama tunacho?
The Finest - mkwe wangu kwa mwanangu wa kwanza hivi kuna watu umewatangazia uko Single?
Umesahau kama mama mkwe wako yuko hapa?
Mkwe Mkwe Mkwe naomba vijimaelezo vya kina:lol:
Hhhm hiyo simu ntaangalia maana vitu vingi kumbukumbu haikai kichwani. Hiyo mbwa wenu alikua anatokea Sinoni nini? Ngoja niulize mtaani kama kuna mbwa kaonekana akiranda randa.1.kuna dog wa nyumbani amepotea tunahisi alifuata mto Themi akafika mitaa ya unga limited, sijui umemuona?
2. mdogo wangu aliporwa simu ya zain sijui unayo?
3. nikumbushe niku pm