Wapumbavu sana hawa wanorway.
Ina fanicha, tv, friji halafu safi. Ni raha kuwa mhalifu Norway.
With comfortable, fully-furnished cells that include televisions and refrigerators, it's nice to be a criminal in Norway. Many of the guards in Halden ...
Jela kama hiyo ingejengwa bongo nadhani ningekua na murder case nikafungwe
Kinachokosekana ni uhuru
Wapumbavu sana hawa wanorway.
Ina fanicha, tv, friji halafu safi. Ni raha kuwa mhalifu Norway.
With comfortable, fully-furnished cells that include televisions and refrigerators, it's nice to be a criminal in Norway. Many of the guards in Halden ...
Kwa nani mleta thaerd au hao wanowayAkili finyu...
Wapumbavu sana hawa wanorway.
Ina fanicha, tv, friji halafu safi. Ni raha kuwa mhalifu Norway.
With comfortable, fully-furnished cells that include televisions and refrigerators, it's nice to be a criminal in Norway. Many of the guards in Halden ...
Mleta thread....Kwa nani mleta thaerd au hao wanoway
Hata kufungiwa Magogoni alafu ukanyimwa uhuru ni adhabu tosha.Wewe haujui thamani ya uhuru, ukifungiwa hapo bila uhuru wa kutoka nje sijui kama utaenjoy chochote
kwa hii life ya bongo ni heri nikae huko miakaWewe haujui thamani ya uhuru, ukifungiwa hapo bila uhuru wa kutoka nje sijui kama utaenjoy chochote
uhuru upi mnaosema nyie...... kuna watu wapo uraiani na uhuru hawana.... LIMBWATAMkuu hata uwe five star hotel ile hali ya kukiwa uhuru ni mateso ya kutosha
Baba hawa hembu osha haraka hivyo vyombo alafu ukune nazi mi ninalala kidogo, baseman hivi ukimaliza kuku ana nazi niamshe.uhuru upi mnaosema nyie...... kuna watu wapo uraiani na uhuru hawana.... LIMBWATA