Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Inakua jela kwa ile hali ya kuwekwa bila Uhuru mkuu. Maisha bila Uhuru....
fail to plan = plan to fail.
fail to plan = plan to fail.
Yule rais katili amesema anataka wafungwa wateseke!![]()
Wapumbavu sana hawa wanorway.
Ina fanicha, tv, friji halafu safi. Ni raha kuwa mhalifu Norway.
With comfortable, fully-furnished cells that include televisions and refrigerators, it's nice to be a criminal in Norway. Many of the guards in Halden ...
Na papuchiKinachokosekana ni uhuru
Is that what you do thinking out loudBaba hawa hembu osha haraka hivyo vyombo alafu ukune nazi mi ninalala kidogo, baseman hivi ukimaliza kuku ana nazi niamshe.
Hahahaaaaa! mbona LIMBWATA!!!!!uhuru upi mnaosema nyie...... kuna watu wapo uraiani na uhuru hawana.... LIMBWATA
Yupi huyo? Magufuli?Yule rais katili amesema anataka wafungwa wateseke!
Kuna kaprogram flani kalinipeleka New Delhi, kwa Six months nilikuwa 5 * Hotel, lakini hakukuwa na Mmatumbi wa kuongea nae Kiswahili! Nikitaka kubonga Kiswahili ilinibidi kupiga simu Uzaramuni au niende Embassy! Nikajionea kero. Jela si jela ikawa tabu tupu. Miezi 6 niliiona miaka 6! Plus na kumiss UTAMU wa Kibantu, daah!Mkuu hata uwe five star hotel ile hali ya kukiwa uhuru ni mateso ya kutosha
Kwa tulioishi muda mrefu tunalitambua hilo. Tena kwa nchi yenye maendeleo ya juu kama Norway uhuru ni kitu muhimu sana. Hiyo jela ni mateso makubwa sana. Ila kwa Watanzania wasiokuwa na exposure wanaweza zani wafungwa wana enjoy.Wewe haujui thamani ya uhuru, ukifungiwa hapo bila uhuru wa kutoka nje sijui kama utaenjoy chochote