Eti microwave inaweza kuoka mkate?

Ndio bibie unaweza kuoka mkate, keki, nk kwenye microwave oven. Mkate utaiva vizuri sana ila kwa kuwa joto la microwave linaenea kwa usawa ndani na nje mkate utaiva ukiwa mweupe wote ndani na nje. Kisaikolojia tumezoea mkate uliobadilika kuwa brown kwa nje mradi haujaungulia. Mkate mweupe kabisa hautavutia mlaji japokuwa umeiva. Ili kutatua tatizo hili unaweza kuuzungushia foil paper. Foil huwa inapata joto sana na kubadilisha rangi ya nje ya mkate, keki, n.k ili mlaji ale kwa amani.
 
Kuna microwave inayopasha tu, kuna inayo grill pia, oven na inayosteam chakula. Ukisoma manua utagundua vitu vingi kwa kila.kifaa ununuacho ili utumie hela yako sawasawa.
 
Microwave inaweza kama ni ya model ya kugrill ila yenyewe kama yenyewe haiwezi
 
Back
Top Bottom