Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,493
- 145,850
Ni kweli dear..bora nusu shari kuliko shari kamili..bur serious mie sipendi kuchezewa...Na hawa wanaume usiwatete sana wanapenda sana kuchezea wanawake..nina ushahidi... Tatizo na sie wanawake ni wajinga sana sometimes..
Noop..Ndio maana nimesema mie sipendi...wapo wanawake wenzangu hata hapa jf wanawachezea wanaume mazoba..au tuseme wanachezeana...ngoma drooUnaongea kama vile wanawake wote ni malaika na hawapo ambao wanachezea wanaume. SMH in disbelief!!!
tatizo wanaume wengi wanajua wakishakukwida huna ujanja hata akikunyea mdomoni uitakaa nae tu... Hawajui maisha ni zaidi ya hiyo k aloigusa! Ni ujinga kujilazimisha kwa mwanaume ambae hafai kimaisha kisa tu amekugusa! Sex ni kitu gani hata sisimizi wameguswa
Noop..Ndio maana nimesema mie sipendi...wapo wanawake wenzangu hata hapa jf wanawachezea wanaume mazoba..au tuseme wanachezeana...ngoma droo
Katika vitu ambavyo huwa vinanipa shida kuvielewa ni hili neno la kuchezewa.
"
Binadamu mwenye akili timamu anachezewaje?
"
Kwanza kuchezewa ni nini?Ni kufanya nini?
"
Kama ni kufanya mapenzi,si mnafanya wote?Kwa hiyo mnachezeana.
"
Wanawake waache kuuendeleza msemo huu!
Unaongea kama vile wanawake wote ni malaika na hawapo ambao wanachezea wanaume. SMH in disbelief!!!
Dah..dont tell me hujui kuna mazoba na mazombie....Ni wale ATMs..Baadhi ya wanawake huwa wanakuwa na wanaume kam 3 au 4..Wanaume mazoba ndiyo wakoje na nini kinakufanya uwaite wao mazoba? Na kama wanachezeana itakuwaje mmoja awe zoba peke yake na mwenzake asiwe zoba?
my hubby wangu eiyer, kuchezewa kunakujaje, unapomuahidi mdada kuwa utamuoa (umemu-engage so umemfunga) na ukamuomba mfanye mapenzi (yeye akiwa hajaridhia) na akakubali kwa kuwa utamuoa; wakati from the very beginning unajua hutamuoa na kuja kumtelekeza baadaye. Huyo dada ana haki ya kusema amechezewa.
Kosa la huyo dada ni kutosimamia imani yake, kumbuka hakuwa radhi kufanya mapenzi ni umemshawishi kwa ahadi!
Lakini kwa scenario nyingine ambapo, mmepenndana na mdada na wote mmeridhia kufanya mapenzi na kwenye course ya mapenzi yenu mkaahidiana kuoana. Ukija kuacha kumuoa, au naye akibadili mtazamo mnakuwa mmepotezeana muda (kwani kutengeneza uchumba takes time), na hakuna mtu kamchezea mwenzake.
Wadada wengi huangukia kwenye kundi hilo la pili, lakini as you say wanasema wamechezewa which is very wrong imo; na kama alivyoshauri zion daughter kwenye uzi wake; kama wewe uko kwenye kundi la kwanza, dont give in (sex wise) kwa expectation za kuolewa. Ila kama unataka sex (uko kwenye kundi la pili) jua kuna kuolewa au kutoolewa, l am sure kuna wadada wengi tu wanawaacha wachumba zao (mifano mingi humu jf) mbona wanaume hawalalamiki kuchezewa?
Btw mimi nimechezea wa kutosha tu labda pengine wa kuzidi! Lol
TEH nashukuru kwa maoni yako hope wamekuelewa, MTU AKICHEZEWA ANAPENDA MWENYEWE KUCHEZEWA
Wanaume mazoba ndiyo wakoje na nini kinakufanya uwaite wao mazoba? Na kama wanachezeana itakuwaje mmoja awe zoba peke yake na mwenzake asiwe zoba?
Nimeipenda sana hii?Ndege wanaofanana huruka pamoja!
Kanishangaza sana huyu Dada wa saluni, nimemtuma
mtoto aniitie tuongee mambo mengine kabisa yeye anarudisha
jibu "Mwambie mi sitaki kuchezewa kabisaaa, kama anataka
aje nimuelekeze waliko wazazi wangu, nimechoka yaani
kila siku kuchezeana tu."
Waungwana kwani kuchezewa kunakuwaje?
Je huyo mtu akienda kwa wazazi wake ina maana
kwamba hatomchezea?
Hebu nipeni ufafanuzi wa huku kuchezea.