Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,214
- 73,875
We jamaaYooote yametokea, but Mbowe is still a symbol of Chadema. Alikoanzia na Chadema mpaka alipoifikisha, siwezi kumtukana.
Aliamini katika siasa za reconciliation, hakujua kuwa CCM hakuna mtu bali mashetani!
Sema approach yake ilikuwa too diplomatic ambayo kwa CCM haitakiwi.
Mbowe ni Martin Luther King Jr..Yooote yametokea, but Mbowe is still a symbol of Chadema. Alikoanzia na Chadema mpaka alipoifikisha, siwezi kumtukana.
Aliamini katika siasa za reconciliation, hakujua kuwa CCM hakuna mtu bali mashetani!
Sema approach yake ilikuwa too diplomatic ambayo kwa CCM haitakiwi.
Sio kweli hajahamia CCM ila amechugua mzigo wa kutosha kuisambaratisha CHADEMA na amefanikiwa kuwanasa baadhi ya wenyeviti wa mikoa.Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Ushauri mwananaMzee achana na maamuzi ya watu, yapo nje ya your control... relax life is too short kuhangaika na vitu/watu kama Mbowe.
PUMBAVUMbowe hawezi kuhamia CCM ila atakuja kurudisha chama chake chadema, alikosea sana kuwaachi mambwa makapuku chama chake. Hakuna cha demokrasia angalia sasa nyumbu makapuku wasio na adabu wala ustaarabu wanavyomtukana. Mtu umejenga taasisi yako kwa jasho na damu leo utukanwe na vitoto vidogo makapuku tu? Inauma sana, mimi mwenyewe naumia sijui Mbowe anajisikiaje? Wafuasi wa chadema ni jamii isiyokubalika popote pale duniani, Mbowe alitakiwa aheshimiwe kwa gharama yyte na wa kumlinda ni viongozi wa sasa, jamii gani hovyo km ya chadema? Ndiyo maana sazingine unamwelewa Museveni akisema anayetaka urais wa Uganda aingie porini maana mwafrika anakugeuka ht kabla hujafa! Mbowe alitakiwa amrithishe chama chake yule kijana wake James, huwezi kuwaridhisha haya mambwa meusi
Good analysisMbowe ni Martin Luther King Jr..
Lissu ni Malcom X.
Wote walikua wanapigana Vita moja ila approach tofauti, mmoja anapenda kubembelezana(ana omba haki) mwingine anataka haki By any means necessary
mbona yupo mbogamboga kitambo tu hata kabla ya connection ya madilu kuvujaMwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Mbowe for president 2030
Haina shida, mradi kafika bei kama ni kweli.Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Amejiunga kwa kuchelewa sana nje ya muda!Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Vipi ndugu kwasasa tunatumia nguvu kuliko diplomasia tumefikia wapi?Yooote yametokea, but Mbowe is still a symbol of Chadema. Alikoanzia na Chadema mpaka alipoifikisha, siwezi kumtukana.
Aliamini katika siasa za reconciliation, hakujua kuwa CCM hakuna mtu bali mashetani!
Sema approach yake ilikuwa too diplomatic ambayo kwa CCM haitakiwi.
Nadhani Mbowe alishauriwa vibaya, ilitakiwa ashauriwe kustaafu uenyekiti. Chama kingebaki salama. Shida ni kwamba wale waliokuwa wanaomuunga mkono walikMbowe deserves heshima by whatever yard stick measure. Nimesema mara nyingi kuwa one of my favorite politician ni Lisu akiwa Chadema. Ila approach aliyotumia kuingia ushindani ilikuwa si ya kirafiki na Mbowe!........ni hilo tu, short of that Lisu anafit sana alipo kwa sasa as Mwenyekiti wa Chadema. Nilitegemea smooth power handover ya uongozi to Lisu bila misuguano tuliyoiona
Ila CCM wanafiki sana, juzi tu mlimuita gaidi, mchaga , mlevi etc. Ghafra mmemuona wa maana sana.Chadema ilifanya KOSA KUBWA SANA kumtoa Mzee Mbowe kwenye Uwenyekiti wa Chadema Taifa. Bahati mbaya historia huzungumza baada ya muda kupita.
Sasa hivi kwenye nchi HAKUNA Kiongozi yeyote wa upinzani mwenye "guts" za Kiongozi wa Upinzani. Unaweza kusema yupo Lissu. Sawa. How are sure that Lissu isn't a project?
Ahahahahaha!!!
Bado hajapewa. Ni kama wamesahau.Kwani Wenje kapewa cheo gani huko?
Atawafaa ccmMbowe for president 2030