Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya

Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya

Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya. Mungu ameshapiga nyundo Raisi Samia too late umejiweka mwenyewe kwenye mazingira haya


View: https://www.youtube.com/live/CmYthkEFnmI?si=oHy3mVK8RZUyxff6



Huyu ni nani..?

NI MWABU to the KUSI ....tunaye.Mjua.?

Kama ndiye,...basi Tanzania tuna Utani mwingi sana....

Hee..! Naye keshabadilika?

Nakumbuka, Mama alishawahi kusema Kuna Mijitu imepata malezi mabaya toka izaliwe....sisi tukaona tu anarefer 'Mwabu'...

Mwabu Leo hii anamwambia Polepole athibitishe?

Asali ni tamu, asikwambie mtu..
 
  • Kicheko
Reactions: Ame
Mbona kama anaongea kilaini sana. Angekuwa anaongea hivi siku zote angeshapewa hata uwaziri wa Sheria.

Ubishiubishi haulipi
Muhutasari wa maelezo yake watu tujitokeze kusikiliza kampeni na kupiga kura.
Hakwenda kama Mwabukusi alienda kitaasisi.
Na yule Mkuu pamoja na mapungufu yake anabakia kuwa mkuu wa nchi.
Ni sawa na kwenda mahakamani ukamkuta hakimu anyesikiliza kesi yako anamfahamu ana vituko vingi huko mtaani, lakini akishakaa kwenye kiti chake na atakalosema kuhusu ndilo linafanyika.
Unaenda kuwasilisha hoja za watu,ikiwemo na hoja ya kumuachia Lisu, taasisi za dini zote kubwa,halafu uanze kufoka, nadhani siyo sawa.
Kwa upande wangu ukiingia kwenye nyumba ya mtu ni vizuri kuwa na staha hata kama ya kuigiza.
 
Back
Top Bottom