Eti maisha ya seminarini yameniharibu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti maisha ya seminarini yameniharibu...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kaeso, Nov 21, 2011.

 1. k

  kaeso JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Heshima wakuu
  Nimeishi miaka saba seminarini tangu nilipoanza pre-form one hadi nilipomaliza form six mwaka juzi. Tangu nimemaliza na kurudi rasmi mtaani nimekuwa na wakati mgumu wa kuzoeana na hawa wenzetu wa jinsia ya kike. Nimekuwa sijiamini ninapokuwa mbele ya mabinti, na nimejaribu kuomba ushauri kwa rafiki zangu ambao wamezoea maisha ya mtaani lakini wanaishia kunisanifu kuwa mambo ya mtaani niwaachie wao kwani siyawezi eti kwa sababu seminari imeniharibu, na kuwa ni bora nikarudi huko.
  Naombeni ushauri wa namna ya kuweza kujiamini nami nijichanganye mtaani...
   
 2. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  pole jitahidi dogo au urudi kundini uchunge kondoo wa bwana altare mali yako!
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hii kitu wala usihangaike kuomba ushauri mkuu
  We ni mwanaume na kama kila kitu kiko salama utazoea tuu wala usihangaike kuomba kwa wenzako wa mtaani
  Sana sana watakucheka na kukuona mshamba wakati uwezo unao
  Kwanza umri wako mdogo kama ndo umetoka six zingatia kwanza umalize masomo na kama yupo ambaye amekupenda au anakupenda utampata tuu
  masuala ya mapenzi siku hizi sio yale ya kujiona wewe ni mjanja
  Angalizo tuu tulia dogo maana utajaanguka sehemu ambayo hutarajii na ukajikuta ujnazima ndoto zako zote
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  tumsifu yesu kristu....uo ni wito mdg wangu......bwna mungu anakuita ukachunge kondoo wake...
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nenda major seminary wewe...tena Kipalapala naona ndio panakufaa........huku mtaani tuachie sisi magumegume!!
   
 6. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,940
  Likes Received: 1,477
  Trophy Points: 280
  Wewe unapaswa kuchunga kondoo,achana na sisi kina Prishaz utatuonea altaren,Tumsifu Yesu Kristu fadha
   
 7. olele

  olele JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  We unataka uzoeane nao ili ufanye nini
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  kaza moyo jichanganye nao kidogo kidogo utazoea
   
 9. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  That's just transphobia very relatively close to Homophobia, and generally has nothing to do with you seminary background, japo yana mchango fulani ambao ni kuwa ulikuwa confident na hisia zako za woga mbele ya wasichana by then kwasababu mazingira yalikuwa yana promote hofu hiyo and hizo hisia zilikusaidia ku run in the right track.
  Sasa hivi upo katika mazingira na desire yako ni kutaka kujaribu ulichokuwa ukikiogopa, thats where your heart start to tremble, feelings za nitajibiwa nini? how does it test like? who is stalking me? what if the majority will know of that and etc, let alone the fear of GOD.
  I also been there, so I do understand that kind of experience and feelings.
  So don't rush in, bali uwe tabia za Mtakatifu Luka, tabia ya Tai. Kumbuka wasichana si maumbile, bali tabia.
  Utajikuta kila wakati (viungo) Moyo na akili zako vinaingia katika mgogoro mkubwa baina ya vyenyewe kwa vyenyewe, lakini ukumbuke somo muhimu ni kuwa ni vizuri kutumia Mioyo yetu kwa ajili ya wengine (sympathy) na ni salama kutumia akili (Logic) zetu kwa mambo yatuhusuyo au tunayohisi ni magumu.

  Falling in Love is Great But being in Love is disaster.
   
 10. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,501
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Huu ni ushauri mzuri kwa mtoa mada!
   
 11. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,501
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Jaribu kujichanganya na hao wadada baada ya muda utawazoea, hauna tatizo lolote ila ni woga tu ndio unakusumbua!

  :A S 465:NB::A S 465::A S 465:
  Soma kwanza elimu ni msingi wa kila kitu, ukipata elimu na kazi nzuri hao mademu watajileta wenyewe kwako! Wazuri wanazaliwa kila leo, Naamini ya kuwa Mungu amekuandalia mke mwema kwa ajili yako.
   
 12. k

  kaeso JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Amina.....
   
 13. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Nenda facebook utajitwalia wengi tu afu unaomba kuonana nao.
   
 14. k

  kaeso JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante sana kwa ushauri wako........nimekuelewa vizuri sana...
   
 15. k

  kaeso JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ambao hata siwafahamu.......:shock:
   
 16. KIHENGE

  KIHENGE JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huko facebook sijui hata inatumikaje duuu mkuu Ingia kanisani jitwalie wako, wala usijali mwenzio nilifanywa hivyo na ninafurahia maisha!
   
 17. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  malizia wito kijana...mshukuru Mungu kwa hilo wala usitake kuzoeana nao...
   
 18. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu ulikuwa seminari gani?
   
 19. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Wewe ulikuwa seminari ya wapi?! mbona huko wanafukuzwa kwa kukutwa na barua za mapenzi na wengine kufumaniwa?!
   
 20. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Sasa utawafahamu vipi wakati ujakutana nao! Hii ndo dunia na hicho kitendo kinaitwa kujamiiana.
   
Loading...