BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
- Thread starter
- #81
Kwani yeye mwenyewe msafi? Mbona kuna uchafu mwingi tu kaufanya kwa kutumia wadhifa wake na bado anaendelea kuufanya? Ulisikia kauli ya kutofukua makaburi ya zamani? Unakumbuka kuhusu rambi rambi za wahanga wa Kagera, Lugumi pia ununuzi wa ndege kwa kukiuka taratibu za manunuzi ya Serikali na pia kutumia $485 milioni ambazo hazikuidhinishwa na Bunge? Ya Bashite je?
Acheni kumtetea huyu wakati si msafi na hana utakatifu wowote yeye ni sehemu kubwa ya ufisadi uliokithiri kupitia mikataba.
Acheni kumtetea huyu wakati si msafi na hana utakatifu wowote yeye ni sehemu kubwa ya ufisadi uliokithiri kupitia mikataba.
Hayo mambo mengine tuache itikadi nyuma inahitaji common sense kidogo katika hili, akiwa kama waziri haikuwa rahisi kupinga maamuzi kwani Kuna collective responsibilities kama angepinga automatically angejiondoa au kuondolewa na kutokana na good risky to calculations zake ndio tunaona haya yatatokea sasa