Eti Magufuli aishangaa royalties za dhahabu kwa 4%!

Hata kututaka radhi tu yeye kama mmoja wa wahusika Wakuu wa haya maovu na wizi wa kutisha. Anataka kutuzuga yeye ni mtakatifu wakati ukweli halisi tunaujua.

Watanzania ni wanafiki kuliko mafarisayo...yeye alikuwa kwenye baraza la mawaziri alikuwepo kwenye vikao vyenye kuandaa miswaada ya kupeleka bungeni, hatujawahi kumuona akipinga au kutetea kuwa tunaibiwa. aliitikia ndiooooooooo
anataka atuaminishe tu maana anajua Watanzania waoga na wanafiki. Yeye angefanya jambo moja kubwa la kututaka radhi na kusema anaanza upya
 
Tatizo ni pale anapotafutwa mchawi fake wakati mchawi halisi anafahamika! Na unaweza kukuta mtafuta mchawi nae alishiriki kubeba tunguri
Wewe mchawi unamjua ukiambiwa usimame pale mbele ya hadhara useme huyu ndio mchawi will you do that? Consipirancy ya Politics ni Ngumu sana so acha afanye hiki ambacho ni sahih kwa sasa hvi
 
Hayo ni maigizo zaidi ya Yale yanayoigizwa na kina King Majuto!

Yeye alikuwa katika mabaraza ya mawaziri ya marais wastaafu wa awamu 2 zilizopita za JK na Mkapa na hiyo mikataba yote ilikuwa lazima ipitishwe kwenye cabinet, halafu leo ndiyo 'atuzuge' kuwa alikuwa hajui lolote kuhusiana na mikataba hiyo?

Ama kweli wasanii wapo wa 'design' nyingi sana......
 
Ki ukweli kwa sasa kushabikia upinzani inatakiwa kujitoa akili. Mbona akina Lowasa na Sumaye walikuwepo kwenye baraza hamuwasemi? au , haya mambo yapo TZ. tu.
 
Nawachukia sana viongozi waongo. Ila nachukia zaidi nionapo wanaodanganywa wakishangilia kama mazuzu uongo mweupe kabisa kama huu. Utadhani ndio kwanza anahamia nchi hii toka Msumbiji kumbe more than 20 years ni waziri mwandamizi.

HE was sited with stupid & foolish bosses then, so HE was scared to raise his voice, NOW IS THE BOSS...HAPA KAZI TU
 
Jamani mbona mnamuandama hivyo mkulu? Alikuwa hajui, yeye ndio kwanza kashuka kutoka mbinguni akakutana na taarifa ya kamati hivyo lazima ashangae! Sasa kama angesomewa taarifa za uuzwaji wa nyumba za serikali si angezimia kabisa kwa madudu yaliyoko mle?
Huyu kahusika sana kuuza nyumba za serikali..
 
Kama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?
Wasukuma bwana..usifananishe "prodigy"na mijizi
 
Yes Magufuli was there kipind inapitishwa but if you were him by then would you do otherwise?

Angekuwa mzalendo wa kweli angeonyesha japo "an ounce of appreciation" kwa wale waliokuwa na ujasiri wa kupaaza sauti zao nyakati hizo wakati yeye akiwa kuafyata! Jana, hotuba yake yote utafikiri kuwa adui yetu namba moja Tanzania ni Lissu na sio akina Chenge & Co
 
Nampa onyo; afe tu na dai shingoni make naona watu wameanza kumshauri eti aondoe kinga kwa akina Ben na Jk alafu awashughulikie; akimaliza awamu yake nae anadhughulikiwa pia kama hao make ajui akina Ndugai walivyo wanafiki.
 
Ni shida sana kuelewa huyu mtu aliyekuwa kwenye baraza la mawaziri na bungeni na aliyaona na kuyasikia wakati yanafanyika na alikaa kimya! Leo anauliza "hivi nani alituloga"? Na mbaya zaidi wale waliojaribu kupaaza sauti na kupinga wanaitwa wasaliti na watetea wezi!

Mfano mmojawapo huu hapa


Kuna mijitu ndani ya bunge mipuuzi sana aisee! Wakati umezungumza
 
Wewe mchawi unamjua ukiambiwa usimame pale mbele ya hadhara useme huyu ndio mchawi will you do that? Consipirancy ya Politics ni Ngumu sana so acha afanye hiki ambacho ni sahih kwa sasa hvi
Sawa mkuu, tunajenga nyumba moja haina haja ya kunyang'anyana fito! Together we stand
 
Magufuli hivi huu mrabaha wa 4% ndiyo leo hii unaujua!? Si ulikuwemo bungeni wakati mikataba inapitishwa haraka haraka eti kwa dharura ili kulinda maslahi ya nchi!?

Hebu acha uongo huku ukijifanya kushangaa kuhusu mikataba ya kifisadi ambapo wewe pia ulihusika kuipitisha bila hata kutoa mguno.


Nawachukia sana viongozi waongo. Ila nachukia zaidi nionapo wanaodanganywa wakishangilia kama mazuzu uongo mweupe kabisa kama huu. Utadhani ndio kwanza anahamia nchi hii toka Msumbiji kumbe more than 20 years ni waziri mwandamizi.
Sometimes ukikaa chini na kufikiria sana ........... unadoubt kama kilichotokea jana ulikuwa ni uchungu kutoka moyoni au ni siasa tu!!

Maana tulishawaona hata akina Pinda wanatoa chozi hadharani!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu siwaelewi kabisa, sasa kumbeza Rais hivi mnataka nini? Aache vita aliyoianzaisha au? Tambueni kwamba hakuna anayeweza kuongoza vita hii zaidi ya Rais.

Sasa kama kweli ninyi ni wapenda nchi si mumuunge mkono sasa? Hapa nawaona wapenda vyama na wapenda nafsi zako. Hatari sana.
 
Back
Top Bottom