BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,159
Magufuli hivi huu mrabaha wa 4% ndiyo leo hii unaujua!? Si ulikuwemo bungeni wakati mikataba inapitishwa haraka haraka eti kwa dharura ili kulinda maslahi ya nchi!?
Hebu acha uongo huku ukijifanya kushangaa kuhusu mikataba ya kifisadi ambapo wewe pia ulihusika kuipitisha bila hata kutoa mguno.
Hebu acha uongo huku ukijifanya kushangaa kuhusu mikataba ya kifisadi ambapo wewe pia ulihusika kuipitisha bila hata kutoa mguno.