Eti Magufuli aishangaa royalties za dhahabu kwa 4%!

Magufuli hivi huu mrabaha wa 4% ndiyo leo hii unaujua!? Si ulikuwemo bungeni wakati mikataba inapitishwa haraka haraka eti kwa dharura ili kulinda maslahi ya nchi!?

Hebu acha uongo huku ukijifanya kushangaa kuhusu mikataba ya kifisadi ambapo wewe pia ulihusika kuipitisha bila hata kutoa mguno.

Inawezekana hajui aisee! Huyu hakujiandaa kuwa raisi hivyo inawezekana hapaku na namna ya kumuandaa, si unajua hata hivyo bwana mkubwa huwa hahita ushauri ki vile!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata kama kunamakosa aliyokwisha yafanya huko Nyuma lakini sasa anatimiza mnachokitaka mnapaswa kumuunga mkono. Vinginevyo mnaagenda yenu.
 
Anashangaa km Barrick/Acacia wanavyoshangaa kuendelea kuchimba madini japo ata Leseni hawana
 
Ni shida sana kuelewa huyu mtu aliyekuwa kwenye baraza la mawaziri na bungeni na aliyaona na kuyasikia wakati yanafanyika na alikaa kimya! Leo anauliza "hivi nani alituloga"? Na mbaya zaidi wale waliojaribu kupaaza sauti na kupinga wanaitwa wasaliti na watetea wezi!

Mfano mmojawapo huu hapa

Nafikiri wengi wetu tumeanza kuelewa kile alichomaanisha TAL aliposema: "..... Tuna raisi wa ajabu sana...."
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hatuwezi kuunga mkono juhudi uchwara. Hiyo mikataba yote ya Serikali iliyojaa ufisadi mbona bado kaikumbatia? Hao wahusika kwanini hawakamatwi mara moja? KULIKONI? Tia akili kichwani na huu mchezo unaochezwa hapa.

Hata kama kunamakosa aliyokwisha yafanya huko Nyuma lakini sasa anatimiza mnachokitaka mnapaswa kumuunga mkono. Vinginevyo mnaagenda yenu.
 
Hatuwezi kuunga mkono juhudi uchwara. Hiyo mikataba yote ya Serikali iliyojaa ufisadi mbona bado kaikumbatia? Hao wahusika kwanini hawakamatwi mara moja? KULIKONI? Tia akili kichwani na huu mchezo unaochezwa hapa.
Very poor idea
 
Ukweli ni kwamba kilichokuwa kinapiganiwa na akina Zito, Mnyika, Lisu, Halima nk ndiyo hiki. Ni fursa sasa ya kuunga mkono, kutoa mapendekezo kwa adabu ili kuhakikisha kinafanikiwa.

Baada ya mafanikio heshma itakuwa kwenu wote. Tofauti na kutumia muda huu kumkejeli na kumbeza Rais wakati hakuna mwingine anayeweza kutuongoza kwenye hili zaidi ya Rais.

Vinginevyo kelele za miaka yote zilikuwa na agenda nyingine na ilikuwa ni kiini macho.
 
Kali ya leo.

Tanzania nchi ya ajabu. Kombe la Sports Pesa limeenda Kenya. Ushindi wa kusoma Quran umeenda Somalia. Madini yameenda Ulaya.
 
Hiki sicho kilichokuwa kinapiganiwa. Acha kupotosha kauli zao Bungeni.

Kwa mwenye akili za kushikiwa lazima aone agenda nyingine wakati hakuna agenda zaidi ya kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania.

Ukweli ni kwamba kilichokuwa kinapiganiwa na akina Zito, Mnyika, Lisu, Halima nk ndiyo hiki. Ni fursa sasa ya kuunga mkono, kutoa mapendekezo kwa adabu ili kuhakikisha kinafanikiwa.

Baada ya mafanikio heshma itakuwa kwenu wote. Tofauti na kutumia muda huu kumkejeli na kumbeza Rais wakati hakuna mwingine anayeweza kutuongoza kwenye hili zaidi ya Rais.

Vinginevyo kelele za miaka yote zilikuwa na agenda nyingine na ilikuwa ni kiini macho.
 
Sitegemei la maana kutoka kwa ZERO BRAIN zaidi ya kutetea wezi, mafisadi na dikteta uchwara.

Mkuu BAK hili jambo naona linakufumba macho. Na kuona si wewe wa siku zote.

Unachosema hapa ni kwamba tuendelee kuibiwa mpaka CCM itakapokuja kutoka madarakani hata kama ni miaka 10 au zaidi ijayo.

Kwamba Uongozi wa nchi uliopo hutauunga mkono hata kwa mambo ya msingi.

Nikukumbushe jambo moja, ni heri nusu Shari kuliko Shari kamili. Ni Kheri tukaokoa kinachoibiwa sasa hata kama ni kwa uchache kuliko kuibiwa chote.

Fikiri Mara mbili.
 
busara ni kuwaomba watanzania radhi waliotupiga ni watoto wa mzee huyohuyo ficha M. Somo la uraia zero kwetu hatujitambuaji kabsaa
 
Hiki sicho kilichokuwa kinapiganiwa. Acha kupotosha kauli zao Bungeni.

Kwa mwenye akili za kushikiwa lazima aone agenda nyingine wakati hakuna agenda zaidi ya kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania.
duh! Kumbe walikuwa wanapigania nini sasa?
 
Najaribu kukuelewa, unasema kwamba kama baba hakuleta chakula siku 2, akaja siku ya 3 hupokei chakula hicho mpaka aombe radhi kwanza.
busara ni kuwaomba watanzania radhi waliotupiga ni watoto wa mzee huyohuyo ficha M. Somo la uraia zero kwetu hatujitambuaji kabsaa
 
Ni shida sana kuelewa huyu mtu aliyekuwa kwenye baraza la mawaziri na bungeni na aliyaona na kuyasikia wakati yanafanyika na alikaa kimya! Leo anauliza "hivi nani alituloga"? Na mbaya zaidi wale waliojaribu kupaaza sauti na kupinga wanaitwa wasaliti na watetea wezi!

Mfano mmojawapo huu hapa

Cc: jingalao, Troll JF, MOTOCHINI
 
Magufuli hivi huu mrabaha wa 4% ndiyo leo hii unaujua!? Si ulikuwemo bungeni wakati mikataba inapitishwa haraka haraka eti kwa dharura ili kulinda maslahi ya nchi!?

Hebu acha uongo huku ukijifanya kushangaa kuhusu mikataba ya kifisadi ambapo wewe pia ulihusika kuipitisha bila hata kutoa mguno.

Watu wengi hawajui Royalty kazi yake, ile siyo kodi ila ni tozo ambayo inatolewa kwa ajili ya uendelwzaji shughuli za uchimbaji haswa wachimbaji wadogo tatizo letu tumeifanya kama kodi kitu ambacho siyo sahihi, hata ukifanyaje katika sheria sidhani kama inaweza kufika hata 10% nchi nyingi zinatoza kuanzia 3%-6 au 7%
 
Back
Top Bottom