Eti Magufuli aishangaa royalties za dhahabu kwa 4%!

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
Magufuli hivi huu mrabaha wa 4% ndiyo leo hii unaujua!? Si ulikuwemo bungeni wakati mikataba inapitishwa haraka haraka eti kwa dharura ili kulinda maslahi ya nchi!?

Hebu acha uongo huku ukijifanya kushangaa kuhusu mikataba ya kifisadi ambapo wewe pia ulihusika kuipitisha bila hata kutoa mguno.

Jamani mbona mnamuandama hivyo mkulu? Alikuwa hajui, yeye ndio kwanza kashuka kutoka mbinguni akakutana na taarifa ya kamati hivyo lazima ashangae! Sasa kama angesomewa taarifa za uuzwaji wa nyumba za serikali si angezimia kabisa kwa madudu yaliyoko mle?
 
Nawachukia sana viongozi waongo. Ila nachukia zaidi nionapo wanaodanganywa wakishangilia kama mazuzu uongo mweupe kabisa kama huu. Utadhani ndio kwanza anahamia nchi hii toka Msumbiji kumbe more than 20 years ni waziri mwandamizi.

Ni shida sana kuelewa huyu mtu aliyekuwa kwenye baraza la mawaziri na bungeni na aliyaona na kuyasikia wakati yanafanyika na alikaa kimya! Leo anauliza "hivi nani alituloga"? Na mbaya zaidi wale waliojaribu kupaaza sauti na kupinga wanaitwa wasaliti na watetea wezi!

Mfano mmojawapo huu hapa

Alikuwa busy naye akifanya yake ya ukwapuzi dhidi ya Watanzania.

Jamani mbona mnamuandama hivyo mkulu? Alikuwa hajui, yeye ndio kwanza kashuka kutoka mbinguni akakutana na taarifa ya kamati hivyo lazima ashangae! Sasa kama angesomewa taarifa za uuzwaji wa nyumba za serikali si angezimia kabisa kwa madudu yaliyoko mle?
 
Ni shida sana kuelewa huyu mtu aliyekuwa kwenye baraza la mawaziri na bungeni na aliyaona na kuyasikia wakati yanafanyika na alikaa kimya! Leo anauliza "hivi nani alituloga"? Na mbaya zaidi wale waliojaribu kupaaza sauti na kupinga wanaitwa wasaliti na watetea wezi!

Mfano mmojawapo huu hapa

Hivi haya majinga majinga yakiona haya majadiliano yanasemaje? Eti leo nyoko mtu anakuja kudanganya watu kwamba ana uchungu
 
Magufuli hivi huu mrabaha wa 4% ndiyo leo hii unaujua!? Si ulikuwemo bungeni wakati mikataba inapitishwa haraka haraka eti kwa dharura ili kulinda maslahi ya nchi!?

Hebu acha uongo huku ukijifanya kushangaa kuhusu mikataba ya kifisadi ambapo wewe pia ulihusika kuipitisha bila hata kutoa mguno.

Watanzania ni wanafiki kuliko mafarisayo...yeye alikuwa kwenye baraza la mawaziri alikuwepo kwenye vikao vyenye kuandaa miswaada ya kupeleka bungeni, hatujawahi kumuona akipinga au kutetea kuwa tunaibiwa. aliitikia ndiooooooooo
anataka atuaminishe tu maana anajua Watanzania waoga na wanafiki. Yeye angefanya jambo moja kubwa la kututaka radhi na kusema anaanza upya
 
Watanzania walijitokeza kwa wingi kuangalia Mh. Rais John Magufuli akipokea Ripoti ya Pili ya mchanga "live" ktk TV zao utadhani Tanzania ilikuwa inacheza world cup na kutegemea "ushindi " lakini ni dhahiri timu yetu haina uwezo wa kushinda mechi hii kwani wachezaji waliopo wameonesha uchovu wa kupigania "ushindi" mapema kabisa na wananchi wametambua hilo mapema kabisa. Ni Muda tu utaiumbua dhana ya igizo hili la mwaka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yes Magufuli was there kipind inapitishwa but if you were him by then would you do otherwise?
 
Back
Top Bottom