Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,831
- 172,419
Mtu anakuja koroga anakutana na hilo picha la kutisha 😹Hahaha...
Kutamanaisha tu wachawi wazinzi, mwisho wa siku wanakutwa wameanguka sababu waliona chabo...
Mtu anakuja koroga anakutana na hilo picha la kutisha 😹Hahaha...
Kutamanaisha tu wachawi wazinzi, mwisho wa siku wanakutwa wameanguka sababu waliona chabo...
njoo bassss
Mtu akiwa na mwenza anaempa furaha, utulivu na amani ya moyo kulala na nguo ataona mzigo,Tokea nilipooa mwaka 2018 mpaka Leo nalala kicheleee, na Sina mpango wa kuacha as long as wifey yupo.
Kwahiyo umeona nini bro 😁Nimevuta picha. Lol
Brother acha umalaya 😁Kuna raha kulala without......
Mguu mmoja kule mwingine kule mkono kule mkono na kule
Aaaah raha
Ile bangi unavuta 😁Kwahiyo umeona nini bro 😁
Hamna bro sivuti 😹Ile bangi unavuta 😁
Halafu ukilala hivyo miguu uwe umeiweka juu ya mto....yani Kuna upepo flani hivi unakuja moja kwa moja kwenye mapmb bro, usingizi wake raha sana.......Brother acha umalaya 😁
😂😂 bro ujue nimeandika na kufuta zaidi ya mara sita. 🤣🤣🤣Kwahiyo umeona nini bro 😁
Waache kulala uchi? Aaah bro labda watu wa mbeya huko ndo walale na majaketi......😂😂 bro ujue nimeandika na kufuta zaidi ya mara sita. 🤣🤣🤣
Kiufupi waache hizo mambo sababu kiuhalisia usiku una mambo mengi. 🤣🤣
Hongera sana Mkuu.Mtu akiwa na mwenza anaempa furaha, utulivu na amani ya moyo kulala na nguo ataona mzigo,
Binafsi silali na nguo nikiwa na mwenza wangu.
Toa ushuhuda wakoNimevuta picha. Lol
😁😁😁kweli Mungu fundiUmeona nini na nini?
🤣🤣🤣🤣ila.huu uzi una manenoUnacheka nini sasa kwamba tusigusane nyama kwa nyama na vipenzi vyetu
Au wewe mpenzi wako anaitolea kwenye zipu huku kavaa koti?🤣🤣
HAYO NI MAISHA BINAFSI YA MTUNdiyo wapo wanalala kichele Yani uchiii
Hiyo tabia achenie mbona sisi tunalala na guo