Eti Kuna wanaume wanalala uchi? Duuuh!

Eti Kuna wanaume wanalala uchi? Duuuh!

Sasa mkuu ndiyo uchi wa mnyama bila hata bukta? 😁 Hiyo afya mimi inipite tu
Wewe sema mazingira unayoishi hayakuruhusu kulala uchi, lakini kwa mtu anayeishi mazingira salama ni sahihi kulala uchi.

Kwanza hata mwanamke aliyeolewa kikanuni hapaswi kulala na chupi ika kama unaishi Tandika lala na jeans kabisa.
 
We nae ni msenge tu, cha ajabu ni kitu gani hapo au madhara ya kulala uchi ni yapi?
 
Back
Top Bottom