Eti Kafiwa na kaka yake nauli naombwa mimi badala ya wazazi wake

Shida ni kwanini uliomba namba?
pengine hajafiwa ni namna ya kuvunja mawasiliano

kwamba kwenye zoezi la sensa ulichukua namba za kila single maza sio?
 
Ku-date na vitoto hivyo under 20 nayo ni kipaji Sheikhe!

Hivi kitoto Kama hicho utapata Raha kweli😊😊
Tafuta mwanamke aliyekomaa
 
Kama title inavyojieleza

Naombeni ufafanuzi juu ya hili jamanii

Kuna binti aged 18 single mother nilikutana nae kipindi cha sensa nikaomba namba tukaanza mawasiliano

Baada ya muda nikaomba nikutane nae akaanza visingizio mara naumwa , mara nimeenda kwa dada nitachelewa kurudi nikaendelea kumsikilizia

Kila akinipiga kalenda anaishia kusema kama umechukia kutoona na wewe poa tu sikua namjibu

Baada ya kuona ananizungusha zungusha kukutana na mimi nikaamua kumpotezea.

Baada ya siku kadhaa kaanza kutuma msg za kimahaba kumbe nahisi anatengeneza mazingira ya kizinga

Jana jioni ghafla bin vuu inaingia msg " Mambo baby wangu, nimefiwa na kaka naomba nauli niende msibani" nikasoma ile msg nikaishia kucheka tu

Kama kafiwa na kaka yake ukoo na familia yake(wazazi wake) si ndo wako responsible kushughukilia masuala ya safari sasa mimi mtu baki tena hajawahi kukutana na mimi hata mara moja anataka nijipe majukumu yasiyonihusu. Sikumjibu ile msg.

Nyie wadada acheni kuomba omba hela kwa wanaume ambao hata hamuwapi ushirikiano wowote. Mnawatafuta mkiwa na shida zenu uchwara

Hakuna mwanaume lofa anahonga hela kwa mwanamke ambaye anajishaua shaua na punguzeni njaa.
Wakati unaomba ulituuliza??????????????? usituchoshe.
 
Back
Top Bottom