Eti Kafiwa na kaka yake nauli naombwa mimi badala ya wazazi wake

Mweeeeh! Eti hajawahi kulaala na mwanaume.
Mkuu ongeza screenshot.
Na hapo ni kitoto kidogo hcho lakin kinataka kunipeleka kama ng'ombe afu wanawake wengi wanaamini kila mwanaume ana uroho sana na mbususu

Mimi uroho ni ninao lakin kuna wakat huwa najistopisha
 
Na hapo ni kitoto kidogo hcho lakin kinataka kunipeleka kama ng'ombe afu wanawake wengi wanaamini kila mwanaume ana uroho sana na mbususu

Mimi uroho ni ninao lakin kuna wakat huwa najistopisha
Hapo alivyokuambia hajawahi kufanya kabisa ni ili udate utume fare fasta aje ufanye uzinduzi.
Ila jamani tufanye kazi tuandalie watoto wetu mazingira mazuri waache kuwa wezi wakiwa na umri mdogo.
 
Hapo alivyokuambia hajawahi kufanya kabisa ni ili udate utume fare fasta aje ufanye uzinduzi.
Ila jamani tufanye kazi tuandalie watoto wetu mazingira mazuri waache kuwa wezi wakiwa na umri mdogo.
Kweli kabisa pia watoto wakiume wapewe elimu ya kuwapenda na kuwasaidia ndugu zao wa kike kama wakiwa na kauwezo
 
Wakuu nyie hawa mademu wa hivi wenye njaa mnawatoa wapi aisee??

Am too selective yaani demu tukiongea dk 5 tu najua hii ni aina flani basi hata kuongelea mapenzi naahirisha.

Pisi ina shida 100 kwa wiki, ahahaha hiyo hapana aiseee.
 
Nadhani kumchangia nauli kwenda msibani kama ni kweli sio ishu, ungeweza kumpa tu ila sema ni kajinga hako. Mwanzo kalikuona hufai na majibu eti kama umemaind kutoonana poa tu alafu saa hizi nauli yako ina umuhimu. Tena usingeishia kukanyima ungekatukana juu!
18 years ni mtoto. Tunamdiscuss mtoto
 
Kama title inavyojieleza

Naombeni ufafanuzi juu ya hili jamanii

Kuna binti aged 18 single mother nilikutana nae kipindi cha sensa nikaomba namba tukaanza mawasiliano

Baada ya muda nikaomba nikutane nae akaanza visingizio mara naumwa , mara nimeenda kwa dada nitachelewa kurudi nikaendelea kumsikilizia

Kila akinipiga kalenda anaishia kusema kama umechukia kutoona na wewe poa tu sikua namjibu

Baada ya kuona ananizungusha zungusha kukutana na mimi nikaamua kumpotezea.

Baada ya siku kadhaa kaanza kutuma msg za kimahaba kumbe nahisi anatengeneza mazingira ya kizinga

Jana jioni ghafla bin vuu inaingia msg " Mambo baby wangu, nimefiwa na kaka naomba nauli niende msibani" nikasoma ile msg nikaishia kucheka tu

Kama kafiwa na kaka yake ukoo na familia yake(wazazi wake) si ndo wako responsible kushughukilia masuala ya safari sasa mimi mtu baki tena hajawahi kukutana na mimi hata mara moja anataka nijipe majukumu yasiyonihusu. Sikumjibu ile msg.

Nyie wadada acheni kuomba omba hela kwa wanaume ambao hata hamuwapi ushirikiano wowote. Mnawatafuta mkiwa na shida zenu uchwara

Hakuna mwanaume lofa anahonga hela kwa mwanamke ambaye anajishaua shaua na punguzeni njaa.
Miaka hio chuoni kuna mmoja hana hela ya kula afu kama sina anakasirika kabisa hataki mazoea,, kunq siku anaumwa anataka hela ya hosp mara akafanye check up mwili mzma ,nikamwambia hio pesa sina ..hapa enyewe nina 20 tu ukipimwa kwa 20 hata hela ya dawa hamna ,, akajibu sasa hio inatosha nini..nikamuuliza mama ako ulimwambia unaumwa? Akasema ndio hana hela nikamwambia shika simu mpigie mwambie unataka kwenda hosp hauna hela

Anasema hana nikamuuliza kama mtu aliekuzaa anasema hana wala haangaiki kwenda kukopa utibiwe mm ndo unataka nikakope ikiwa hata kwenu sijulikani🤔
 
Hii chai nmekataa kuinywa
Mwanzo wa chai yako umesema ulikutana naye kipindi cha sensa.
Na mwishoni mwa chai yako unasema huyo dada anaombaje nauli kwa mtu ambaye hajawahi kutana naye.sasa hapa tushike lipi?
 
Back
Top Bottom