Eti Kafiwa na kaka yake nauli naombwa mimi badala ya wazazi wake

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,625
8,345
Kama title inavyojieleza

Naombeni ufafanuzi juu ya hili jamanii

Kuna binti aged 18 single mother nilikutana nae kipindi cha sensa nikaomba namba tukaanza mawasiliano

Baada ya muda nikaomba nikutane nae akaanza visingizio mara naumwa , mara nimeenda kwa dada nitachelewa kurudi nikaendelea kumsikilizia

Kila akinipiga kalenda anaishia kusema kama umechukia kutoona na wewe poa tu sikua namjibu

Baada ya kuona ananizungusha zungusha kukutana na mimi nikaamua kumpotezea.

Baada ya siku kadhaa kaanza kutuma msg za kimahaba kumbe nahisi anatengeneza mazingira ya kizinga

Jana jioni ghafla bin vuu inaingia msg " Mambo baby wangu, nimefiwa na kaka naomba nauli niende msibani" nikasoma ile msg nikaishia kucheka tu

Kama kafiwa na kaka yake ukoo na familia yake(wazazi wake) si ndo wako responsible kushughukilia masuala ya safari sasa mimi mtu baki tena hajawahi kukutana na mimi hata mara moja anataka nijipe majukumu yasiyonihusu. Sikumjibu ile msg.

Nyie wadada acheni kuomba omba hela kwa wanaume ambao hata hamuwapi ushirikiano wowote. Mnawatafuta mkiwa na shida zenu uchwara

Hakuna mwanaume lofa anahonga hela kwa mwanamke ambaye anajishaua shaua na punguzeni njaa.
 

Saint Anno II

JF-Expert Member
Sep 12, 2021
1,542
4,897
VIJANA TUTAFUTE HELA TUACHE MALALAMIKO
Hata kama hizo hela ungekuwa nazo wewe huyu ungempa?

Na kwa uzoefu wangu huyu huyo kaka yake amemuuwa sometimes hata kaka hana ila kwa sababu anajua muombwaji hamjui na hata akitaka kumjua kwenye msiba hawezi kwenda na akitaka picha za waombolezaji kwenye huo msiba ataingia Google anaokota picha zimejaa chungu mbovu anamtumia akiwa chumbani kwake hapo Tandale
 

libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
4,066
2,850
Nadhani kumchangia nauli kwenda msibani kama ni kweli sio ishu, ungeweza kumpa tu ila sema ni kajinga hako. Mwanzo kalikuona hufai na majibu eti kama umemaind kutoonana poa tu alafu saa hizi nauli yako ina umuhimu. Tena usingeishia kukanyima ungekatukana juu!
Si tayari kamepata ziki
 

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
696
1,828
Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, uache kiherehere cha kuomba namba kama uchimi ni wa kuunga unga au ni bahili
 

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,625
8,345
Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, uache kiherehere cha kuomba namba kama uchimi ni wa kuunga unga au ni bahili
Uchumi wangu uko vizuri ila mi sio boya wa kuhonga honga hela ovyo hasa kwa mwanamke ambaye hata sijawahi kumtomba
 

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,625
8,345
Ungemwambia aje achukue geto afu akija unamla mbususu kwanza ndo umpe ww inaelekea kwenye kikao chetu hukuwepo
Nlishamwambia kama mara 2 hivi aje ghetto kabla hata ajaanza kuomba hela akawa analeta visingizio kibao. Sasa kwa sasa mi nlishajiwekea kanuni sina muda wa kubembeleza mwanamke so nikampotezea kimya kimya
 
15 Reactions
Reply
Top Bottom