Kwa kuwa hii ni picha, inaonekana kaganda tu (not moving). Kwa kuangalia uelekeo wa ngazi, hatua ya ambayo huyo paka anaelekea kuifanya , ni ya kushuka ngazi
huku tulipo anapoelekea paka ni chini!sehemu ya kukanyagia ya ngazi huwa smooth mwanzo mwisho,sehemu isiyokanyagwa ambayo ndiyo inayoonekana inaweza kuwa hata na muinuko!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.