eti huyu ni nani?

eti huyu ni nani?

Hebu toa ulaza wako hapa!
BTW
Hujambo dogo wangu?

haha!
blaza mm nipo...
wewe tu...we miss nowadays...
mkoloni mpya ama?...maana ukiwa na boss mhindi inawezekana tukakupoteza jf!
 
haka katoto kamekomaliana namaanisha kamekomaaa katazame kwa ukaribu utaona
 
Kajukuuu kangu LINA Sanga!!! kana kwenda vizuri tu katika kazi yake ya muziki, ila kaziige akina Ray C!
 
Huyu si haka kabinti kanajiita Lina "malkia wa bongo flavor"...sijui kamempata predeshee gani anayekapa trip za kwenda mbele kila uchao

eti ni first lady IPP MEDIA!
 
Ukiende kwenye classic 'danguro' pale Masaki utamkuta!!
 
Back
Top Bottom