Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Na lengo langu ni kukutisheni sasa.
Haya sawa, mimi usiwe unaniquote kwa kwel, maana najikuta nasoma bila kuangalia screen.
Na lengo langu ni kukutisheni sasa.
Haya sawa, mimi usiwe unaniquote kwa kwel, maana najikuta nasoma bila kuangalia screen.
Umekosea sana aisee
sababu sasa ndo ntakuwa nakuquote vibaya sana, hata uki-LIKE mtu nikikuona tu nakuquote.
Inaonekana huyu mtoto ana "kisukumi" ukijichanganya nae ujue utatangulia tu.
mbaya zaidi yule wa kwanza alimuua yeye kwa mikono yake mwenyewe.
Hivi huwa najiuliza alikuwa akimfunika na shuka kwanza ama yule si babu yake kabisa jamani hii ni laana hamna uzima hapa tamaa mbele mauti nyuma.
Huyu mwingine kamuua kwa presha baada kutumbua marejesho!
View attachment 231166
Akiwa kwenye pozi la huzuni. Ujane kwa mara pili akiwa bado mtoto mdogo! Inauma!
Pole Lulu kwa Msiba
Mkuu unataka kuwatoa kafara wenzio! Kwanini usiende wewe!Changamkieni fursa nafasi ipo wazi..
Msiba wa baby kwa mjini, babu kwa kijijini!
Pole pole mdau tupo bado kwenye majonzi huyo mdau kaandika anachofikiri tuu huo ndio uhuru wa habari.Jamani jamani ulikuwepo wakati anamuua?????
Muacheni bint wa watu apumue basi khaa!!