kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
- Thread starter
- #61
Niwe mzaramo mhaya sio mhaya yote poa tu ila message imefika
Mmmh.. hizo nywele hapo mbele kama ng'ombe wa kisasa...
Dogo mlango wa saba yule, gusa unate kama uncle JJ au kapteni!!
Mzigo kama huu au?
View attachment 231222
Pole mama mdogo, yote ni mipango ya Mungu
Na huyu je?
View attachment 231226
Lete ushahidi wa yeye kuwa mjane??? mbona mtamuua huyu binti kwa maneno jamani, muacheni basi akae afurahia maisha, kuna watu wengi wanafanya mabaya kuliko huyu binti ila hawasakamwi ila huyu kila uchwao mnamsakama kamewakosa nini haka katoto jaman???i.
Mzigo kama huu au?
View attachment 231222
Kwani nani kasema amefanya mabaya?
Wewe umesema.
wapi....?
Sangarara.......................
hiyo picha yako kiukweli inanikera sana, siipendi hadi basi.
Huyu mwingine kamuua kwa presha baada kutumbua marejesho!
Inakukera nini hasa?
Inatisha kuiangalia. itoe khaa!!