Eti huyu naye ni mjane wa kapteni!

Eti huyu naye ni mjane wa kapteni!

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
1425300600898.jpg
Akiwa kwenye pozi la huzuni. Ujane kwa mara pili akiwa bado mtoto mdogo! Inauma!
 
Ukimuuliza Maana Ya mapenzi hana definition nzuri kabisa at tht age
 
Husipende kujaji kitu husichokijua ndo maana wakasema husilolijua ni usiku wa giza.
 
Nimepatwa na mawazo kidogo; Hivi mleta hoja ni kwamba unaona haiwezekani mtoto mdogo hivyo kuwekewa na dude ka lile la miraba minne au?
Tuseme, umetuambia tumkimbie huyo bint kuwa ukigusa una dai fasta? Ni mawazo tu lakini. Ila pole zake mjane kama kaachiwa japo kale kamkopo ka crdb akatumie fasta kwani bi mkubwa aweza kumnyang'anya. Ndoa ya Katoliki hairuhusu kuchangia rungu moja
 
Husipende kujaji kitu husichokijua ndo maana wakasema husilolijua ni usiku wa giza.

We kabila gani? Unaongeza herufi h pasipostahili!
Husipende!
Husichokijua!
Husilolijua!

Bila shaka utakuwa mzaramo wewe!
 
Huyu mwingine kamuua kwa presha baada kutumbua marejesho!

View attachment 231166
Akiwa kwenye pozi la huzuni. Ujane kwa mara pili akiwa bado mtoto mdogo! Inauma!


Lete ushahidi wa yeye kuwa mjane??? mbona mtamuua huyu binti kwa maneno jamani, muacheni basi akae afurahia maisha, kuna watu wengi wanafanya mabaya kuliko huyu binti ila hawasakamwi ila huyu kila uchwao mnamsakama kamewakosa nini haka katoto jaman???i.
 
Back
Top Bottom