Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,373
- 29,615
Pole kwa Mjane..
Niwe mimi au sio mimi, lakini naendelea kusema kaacheni kabint kawatu kapumue, hapo mlipo macho yanawatoka kwa kukatamani alafu mnajifanya kukakandia, tuseme ukweli ajitokeze LULU hapo aseme anasaka bwana, hapa si mtaangukiana kwa kumkimbilia. anyway najua uzuri ndio sababu yakumshambulia lulu.

We kabila gani? Unaongeza herufi h pasipostahili!
Husipende!
Husichokijua!
Husilolijua!
Bila shaka utakuwa mzaramo wewe!
halikuwa hanaandika huku hanakimbia na hanahema sana mkuhu......msamehe....
Aiseee mie nakapenda sana haka katoto.. Hata kama alitembea na bonge mie sijali.. Niunganishe basi Apologise lady..!
Hata nikipewa bure siwezi naogopa asije akanikanumba na kunikapteni!
Mambo ya Ngoswe tumwachie Ngoswe mwenyewe.View attachment 231166
Akiwa kwenye pozi la huzuni. Ujane kwa mara pili akiwa bado mtoto mdogo! Inauma!
Hahahaha!! usinichekeshe mie. nikuunganishe kwani umekatika???
Hapana chezea kale kabinti, wanaume wengi tu wanakatani matokeo yake wanaishia kukazushia.
Ha ha ha.. Wanikumbusha zamani tukimtaka demu halafu akatupiga kibuti tunamuita malaya lol..!
Na wanaofanikiwa hawachelewi kuimbiwa mapambio na kuwahishwa Masaleni.Hahahaha!! usinichekeshe mie. nikuunganishe kwani umekatika???
Hapana chezea kale kabinti, wanaume wengi tu wanakatani matokeo yake wanaishia kukazushia.
Anaweza kutunukiwa u-DC kwa kumuenzi kapteni Bonge.
Huna lolote, maneno ya mkosaji tu hayo. sizitaki mbichi hizi wakati unajua fika yale maji marefu.
Na wanaofanikiwa hawachelewi kuimbiwa mapambio na kuwahishwa Masaleni.
Kweli ni mjane ni maji marefu amemzamisha hadi kapteni bonge!
Huu msemo wa zamani sana kabla nishati ya mwanga babu zetu hawajaijua. kwasasa usilolijua unalimulika tu.Husipende kujaji kitu husichokijua ndo maana wakasema husilolijua ni usiku wa giza.