Watoto wa papa mmekuja na hoja za kiwakiNi kweli
Yeye na Dr Slaa Waseminari wa Itaga
Kanisa Moja Takatifu la Mitume!
Kuna Wajinga huwa wanaamini Magufuli na Membe walikuwa maadui😄😄😄Watoto wa papa mmekuja na hoja za kiwaki
Akiamka na kukanusha?1.Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .
2.wakati akijiunga JKT alikuwa na mkanda mweusi kama ule wa Rais Putin ambao alijifunza mapigano akiwa seminari
3.Alikuwa na uwezo mkubwa wa kudanganya na kujiamini sana mkimsikiliza lazima ikubali kumbe wapi ,aliweza kudanganya (nguvu ya ushawishi) bila kubainika ,hii ni moja ya sifa kuu ya jasusi
4.Alikuwa na uwezo wa kuficha hasira zake hata kama anapitia mateso makali au stresses
5.Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Luca kama Luca akitoa condolences!Mwanga usiwe mkali sana.Utampofua macho.MWENYEZI MUNGU amlaze mahali pema peponi na kumwangazia mwanga wa Milele.
Inabidi urudi kujifunza maana ya elimuSifa ni moja,
Alikuwa na elimu kati ya form four failures
Vipi ushavuna mkonge?MWENYEZI MUNGU amlaze mahali pema peponi na kumwangazia mwanga wa Milele.
Duh...Kuna Wajinga huwa wanaamini Magufuli na Membe walikuwa maadui😄😄😄
🚮🚮Sifa ni moja,
Alikuwa na elimu kati ya form four failures
Ufaulu wa membe high school ulikuwa hafifu sana, akakosa sifa ya kusoma chuo kikuu.5.Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa
USSR
Kama hujui walimu wengi wapo huko KUANDAA waajiriwa wa keshoUfaulu wa membe high school ulikuwa hafifu sana, akakosa sifa ya kusoma chuo kikuu.
Ilibidi asome diploma ya ualimu kwanza ndipo baadaye akajiunga na chuo kikuu.
We know what you don't know.
Hii kamba umetuvesha kamba kote sawa Ila hapa hii kamba5.Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa